Recent content by Urgent

  1. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

    Mbona mnakuwa wambeya!? Uchaguzi ndio unaendelea na upigaji Kura haijaisha, hao Viongozi wakuu wanaporaje Kura!?
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mbowe soma alama za nyakati unapingwa mpaka na wasiri wako wa muda mrefu

    Kuna watu mna vichwa vya panzi sana, wewe Benson Mramba ulikuwa Makao Makuu ya Chama kwa kubebwa na Komu, na unajulikana kuwa uliiba hela nyingi wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2015
  3. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui Nimtafune?

    Mkuu toa namba yake kuna shida hiyo bidada asaidiwe
  4. U

    JamiiForums Tanzania Shujaaa mpya wa TAHLISO ni Francis Ndunguru

    Yaani yuko SUA anataka Uenyekiti wa TAHLISO!? Akifukuzwa tena kwa kudisco ndiyo aseme yeye ni mwanaharakati ndio maana kadisco!?
  5. U

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona leo, majambazi kuuawa ni haki kabisa

    Hapa Kazi tu
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kwa mabilioni haya ya Ruzuku CHADEMA, Tutamjua Mbowe ni Nani

    Subirini Magufuli awanyooshe ndio mtajua kama ruzuku ya CHADEMA inawahusu, au kinachowahusu ni kukimbiana, pu..........
  7. U

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

    Nchi hii bado ina wabunge!?
  8. U

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

    Kwa jinsi unavyoandika tu inaonyesha hujui unachoandika! Silaha Mboe
  9. U

    JamiiForums Tanzania Lowassa kutangaza rasmi msimamo wake Julai 13, 2015, ACT wajiandaa, CCM kupasuka

    Hiyo ni Ukiwa sio Ukawa!
  10. U

    JamiiForums Tanzania Graduation ya CHASO Ifakara tarehe 03/07/2015

    CHASO ni CHASO
  11. U

    JamiiForums Tanzania Deo Meck: Nilijiuzulu na kujivua uanachama NCCR-Mageuzi toka 3 June, 2015

    Deo Meck, wewe ni kiumbe dahifu kuliko udhaifu wenyewe, unajaribu kutafuta umaarufu katika wakati maarufu kweli? If you harbor a terrorist you are a terrorist too......
  12. U

    JamiiForums Tanzania G. Kabaka: Wabunge wawili wa upinzani wamekuwa wakichochea mgomo wa madereva nchini

    CCM imechoka, na viongozi wao wakiongozwa na Kikwete walishasema wamechoka, na hata Pinda wakati akitoa agizo Polisi kupiga tu, alisema wamechoka, sasa Kabaka anaonyesha jinsi walivyochoka kwa kusingizia mchana kweupeee
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

    Tatizo la vijana wengi mnaokurupuka kumsema Mwenyekiti Patrobas, wote ni watu ambao tunawafahamu, tunajua nini mnafanya na kwa nini. Tunapoelekea kuchukua serikali, tunahitaji strategies, tunahitaji mbinu na zaidi sana tunahitaji substantial Activities, unapozungumza kuhusu era ya Heche...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe yupo live EFM radio, Asema hagombei Uenyekiti ACT Tanzania

    Kiongozi MKUU WA CHAMA, ambaye kimamlaka yuko juu ya viongozi wote wa chama, kama ilivyo serikali ya Ujerumani. Na hicho cheo cha KIongozi Mkuu hakigombewi
  15. U

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe yupo live EFM radio, Asema hagombei Uenyekiti ACT Tanzania

    Kiongozi MKUU WA CHAMA, ambaye kimamlaka yuko juu ya viongozi wote wa chama, kama ilivyo serikali ya Ujerumani.
Back
Top Bottom