Graduation ya CHASO Ifakara tarehe 03/07/2015

Irhhey

Member
Dec 21, 2012
49
9
TANGAZO: CHADEMA STUDENT ORGANIZATION (CHASO-Ifakara).

Tunayofuraha kubwa kuwakaribisha wote wenye mapenzi mema,bila kujali itikadi zetu katika mahafali ya kuwaaga ndugu zetu wa CHASO-Ifakara ,yatajayofanyika katika ukumbi wa beginis IJUMAA tr.3/7/2015 saa 7:00 mchana,

Mgeni wetu rasmi atakuwa ndugu SALIM MWALIM, Naibu katibu mkuu wa CDM - Zanzibar, atakayeambatana na katibu mwenezi wa BAVICHA ambae pia ni mlez wa CHASO - Taifa, ndugu EDWARD SIMBEYE, pamoja na wabunge na wageni mbalimbali wa mkoa!

Kufika kwako ndio kufanikisha tukio hili la kihistoria!

Asanteni sana,.

Tangazo hili limetolewa na M/Kiti wa CHASO-Ifakara, ndugu SADICK SIZYA, na kuletwa kwenu nami ISACK ATHUMAN - Katibu Mwenezi!
 
Back
Top Bottom