Nafikiri jamaa hujamuelewa vizuri....KUNA AINA YA MWANAMKE unamtongoza lakini ile tu ukimsoma usoni (facial expression) unaona kabisa naye anakukubali the way anavyokujibu yaani unakuta anakupa ushirikiano, mkipanga mtoko anakuja na hata asipokuja anakupa sababu ya msingi na anakuwa mnyenyekevu...
Ripoti ipo wazi inajitosheleza watu wengi wana ufahamu wa kusoma,kuielewa na siyo mpk hizo kamati ndo zitutafsirie.....Kwani imetumika lugha ya kiispaniola? Tumeshajua tumepigwa mchana kweupe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We jamaa umenichekesha aisee.....sasa siye ambao gari zetu full kunuka petrol ndo tumekosa siyo!
Wewe Jamaa Upo Kama Mimi YAANI NIKIPIGA KURA CHADEMA SIJUI kwanini huwa nasikia TU amani moyoni HATA kama hawatashinda.
UZURI WA CHADEMA haiogopi KUFUKUZA MTU HATA AWE NANI, NAKUMBUKA ZITO KABWE alifukuzwa NA BADO chama kipo imara......hivyo sitoshangaa endapo wakiwatimua viongozi waliokiuka...
ACHA HOJA ZA KITOTO NA WEWE!.....WAKALA GANI SASA HIVI ANAWEZA KUFUNGUA MDOMO NA KUELEZA HAYO, KILA MTU ANAYAPENDA MAISHA YAKE NDUGU......HATA WAKALA AKIONGEA HAISAIDII KITU ZAIDI YA KUMUINGIZA MATATIZONI
Nauliza hivi yule aliyekuwa mtangazaji wa ITV "Superbrand Tv" yupo wapi? maana alikuwa maarufu sana kwenye kampeni za Mwaka 2015 akiwa anaripoti na kusafiri na msafara wa mgombea Urais wa Chadema enzi hizo Mh.Lowassa.
Nakumbuka kwa upande wa CCM kulikuwa na mhandishi anayeripoti kampeni za...
HII NI KWELI KABISA KWA ASILIMIA MIA MOJA....MIMI IMESHANITOKEA NINA BIASHARA YANGU YA HARDWARE KUNA WAKE WATATU WA MTU NIMESHAWALA MPAKA SASA......KILA MMOJA KWA NYAKATI TOFAUTI WALIKOPA PESA ILI WAKAFANYE MAREJESHO ILA NILIPOKUWA NIKIDAI WALIKUWA WAKINIZUNGUSHA NA KUNICHEKEA...
WEWE JAMAA UNACHEKESHA KWELI NAMBA SIYO ISHU KWENYE GARI.....ISHU NI MATUNZO YA GARI ZIPO GARI NI NAMBA D LAKINI UKIZIANGALIA TU UNACHOKA YAANI KIMUONEKANO IPO CHINI KULIKO NAMBA A KUNA WATU WANAPIMP MAGARI YANAPENDEZA BALAA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.