ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 973
- 665
Kama unaishi na mdogo wako wa kike au wa kiume nyumbani kwako kuwa makini sana naye, usimuamini kwa 100% siku hizi kutembea na mashemeji imekuwa kama fashion
Tena hawa mabinti ndio hatari wanatutega mashemeji zao mpaka tunajikuta tunaingia kwenye mtego bila kutarajia, halafu mkishagongana mara kadhaa anaanza kutoa siri zote za dada yake maisha ya nyuma kabla hujamuoa.
Ukicheche wa dada yake nk, mdogo wako muone kama sumu ya panya weka mbali na watoto (mumeo/mkeo)