Kuna haja ya kulala ukweni?

Kuna haja ya kulala ukweni?

Waheshimiwa malijendi,
Tangu nioe ni miaka miwili imepita.
Ndoa ilihudhuriwa na wazazi wote na ndugu wachache waliopata nafasi.

Kesho nina safari ya mishe zangu tu za kutafuta riziki.
Wilaya niendayo ndiko kilipo kijiji cha wazazi na jamaa wa mke wangu, na nitaenda huko kijijini kuwasabahi na kuwaona baadhi ya ndugu zake.

Je kuna haja ya lijendi kulala pale ukweni au niwasabahi tu kisha nikalale zangu town?
CAPITAL, BOLDED, ITALIC, UNDERLINED AND HIGHLIGHTED HAPANA..!!
 
We shauri yako,nenda ukalale ukweni usiku uote ndoto umekaa chini ya mfenesi umejipumzisha baada ya kushiba huku ukishusha mashuzi mazito mazito ya nguvu, kumbe kitandani unawachafulia hewa mashemeji zako wakusikie wawahadithie wakwe asubuhi heshima yako ishuke.
 
Back
Top Bottom