Kwa hili ninaimani kila mtanzania analijua ni viongozi wawili tu katika serikali ya jk waliogoma na kubishia malipo ya dowans na wakiwa kwenye ya baraza la mawaziri la sasa ambapo mwanzo walisemwa saana na viongozi wengine. haya sasa mme yaona kwa msimamo wao mpaka jk anaibuka nakuyakataa malipo...
Duh ! Haha. Ah ha kweli. Haswa. Huyo mjumbe. Alikua kalala. Ama anandoto. Za mchana. Hata huyu. Alie post. Siajabu. Ni wale wale. Ambao wako kwenye. Mgao damn it
Majungu kibao hakuna lolote hapo mtu atavuruga vipi bunge ? Bunge hilo hilo likiongozwa na Sitta ndilo lilofanya kwa mara ya kwanza waziri mkuu na mawaziri kuanchia ngazi sasa sijui mnaandika nini ?na lazima mkumbuke hakuna mtu perfect ndio maana kila mtu...
GKUNDI
Tunaomba source ya hii habari maana naona imeanza kujadiliwa bila kujua source yake.Hebu weka mezani ili tuchambue kiundani inabidi tujue alikua anaongea na nani ?
Duh !! babylon
Ndio umetuambia nini hapo labda uandike tena lol
Hivi kweli wewe ni mtanzania na unaeishi bongo? Na hata kama huishi bongo basi tueleze unajua anayo yafanya mshikaji wako RA ? ama unaishi planet nyingine. kama huishi bongo basi waonee huruma ndugu zako waliopo bongo...
yomba yomba ha ha ha ha ,kaka kiluga kimenikaa kushoto ila nahamu nijue saana , haya mambo ya kuishi mijini mhh mpaka lugha tunaharibu lakinni moto gwa nsanzu ni moto wa kuachia mbali unaonukia, si unajua ukimjerui simba inakuaje mmmh macho yetu
Nimepata kahabari kutoka watu waliokua huko wanasema jamaa s.s anasema subiri muone bunge lijalo kuna watu watakimbia nchi
moto gwansanzu lol ukiuchokonoa moto lazima ujue jinsi ya kuuzima
mafisadi alikua anawaedea na speeed ndogo inasemekana tusubiri mwezi wa...
Mliopo bongo jamani rekodini taarifa ya habari ya saa mbili usiku nasikia ITV wataonyesha mapokezi hayo ,tumieni hata hizo simu zenu kurekodi mturushie tuone mambo yalikuaje kwa sisi tuliombali
Skasuku
acha blaaaaaaaaah blaaah,humu hatuongelei kudandia gari.Lete maoni yako kama mtu mzima ya jinsi gani ya kupambana na hawa jamaa mafisadi watu usiku kucha wanakuna vichwa kujua jinsi gani ya kuwamaliza kisiasa, hilo ndilotunataka kusikia.
kwa upande wangu mimi naona jinsi ya...
Niko na wewe mwikimbi, Mungu ni mwisho !! hapo ndio sehemu ya mwisho na mwanzo kukimbilia. maana inavyoonekana mijibaba kibao kwenye c.c.m wamesha hongwa vijisenti vya pilau,basi wamekua upande wa mafisadi kumbe hawatambui kua wananchi wameona picha nzima ilivyokua...
Jamani wana JF hivi hawa jamaaa mafisadi wanataka nini kwenye nchi yetu ?yani mtu anatetea haki ya watanzania wao wanaona hafai duh !! Nyerere Baba yetu ona upuuuzi huu !! lakini yote yanamwisho.
It looks so surreal, but its true. The Speaker of the Parliament of the United Republic of...
Zambias ex-President Frederick Chiluba has been acquitted of six counts of theft and corruption
The 'not guilty' verdict handed down by a Lusaka court yesterday, Monday, to ex-President Frederick Chiluba of Zambia, who had been accused on six counts of theft, corruption and general financial...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.