Safari ya Spika Sitta Urambo baada ya NEC August 2009

Spika wa bunge amewasili mjini Urambo majira ya alasiri akitokea Tabora ambako alitua na ngege ya pricision iliyotokea Dar.Mjini Tabora alipokelewa na wanafamilia.

Baada ya mapumziko ya muda alianza safari ya kuelekea Urambo,kama kilomita 20 kutoka Urambo ndipo yalipoanza maandamano ya kumpokea ambayo yalikuwa yakisimamishwa na wananchi wakitaka hata wasikie sauti yake,naye hakutaka kuwakatisha tamaa,alilazimika kuhutubia mikutano 3 leo akiwa katika vijiji vilivyopo njiani kuelekea Urambo,amewaambia wanachi wasiwe na wasiwasi kwa yaliyotokea DODOMA,yeye hatabadilika hata kidogo na ataendelea na mapambano juu ya ufisadi na hakuna wa kumtisha.

Baada ya hapo akaendelea na hutuba kwa kuzungumzia juu ya maendeleo na mafanikio katika kipindi chake cha Ubunge na kuwajulisha wananchi kuwa sasa barabara ya Urambo - Tabora iaanza kuwekwa lami.
 
Last edited:
Spika wa bunge amewasili mjini Urambo majira ya alasiri akitokea Tabora ambako alitua na ngege ya pricision iliyokea Dar,mjini Tabora alipokelewa na wanafamilia.

Baada ya mapumziko ya muda alianza safari ya kuelekea Urambo,kama kilomita 20 kutoka Urambo ndipo yalipoanza maandamano ya kumpokea ambayo yalikuwa yakisimamishwa na wananchi wakitaka hata wasikie sauti yake,naye hakutaka kuwakatisha tamaa,alilazimika kuhutubia mikutano 3 leo akiwa katika vijiji vilivyopo njiani kuelekea Urambo,amewaambia wanachi wasiwe na wasiwasi kwa yaliyotokea DODOMA,yeye hatabadilika hata kidogo na ataendelea na mapambano juu ya ufisadi na hakuna wa kumtisha.

Baada ya hapo akaendelea na hutuba kwa kuzungumzia juu ya maendeleo na
mafanikio katika kipindi chake cha Ubunge na kuwajulisha wananchi kuwa sasa barabara ya Urambo - Tabora iaanza kuwekwa lami. http://picture2[IMG][/quote]

siasa za bongo bana!!!!!!!!!
 
Nawauliza Polisi wetu.
Alipata kibali cha kuhutubia? Je, maandamano(?) yalipewa kibali?

Kwa hayo yote yaliyotokea Dodoma, na hali ya mapokezi iliyojitokeza. Kama angekuwa toka kambi ya Upinzani Kibali kingetolewa kweli?

Hata hivyo nampa pongezi kwa ushujaa.
 
Hebu tujikumbushe waliopokewa kwa maandamano:

Edward Lowassa - Monduli
Andrew Chenge - Bariadi
Zitto Kabwe - Dar
Samuel Sitta - Urambo
 
Naona CCM hiko kwenye matatizo makubwa , kama kile kilichoandikwa hapo juu ni cha kweli. Na inaonyesha dhahiri ya kuwa CCM ina tatizo kubwa la uongozi kwani message wanazotoa viongozi wa nafasi za juu zinapingana. Hili sio jambo zuri kwa chama ambacho kinataka kuendelea kuongoza. Wapinzani nafasi mliyokuwa mkiiomba, sasa mmeipata.
 
Nafasi ipi mkuu...Hizo ni drama tu,usiziamni sana kivile
 
He he he kazi ipo bunge lijalo huo mkuki utawatoa mafisadi wote mbio
ngoja nisafishe masikio tusikie yajayo
 
Sisi M usiwaamini sana. Usanii kwao ni mchezo wa kawaida.
Kuna kitu kama usanii fulani hivi nimeushitukia.
Mbona hatujaambiwa kwamba amewambia wananji wake kuwa alikosea alipoomba msamaha?
Hii ya kutudanganya mara nyingine tunaishitukia wakuu!
 
Mh! nahisi wanatucheze mazingaombwe tuu hapo! tumaini ni finyuuu kabisa.. wapo pamoja kabisa... Ni ipi kauli ya baba mwenye nyumba had sasa??? hapo ndipo kitandawili cha mazingaombwe kinapokuja..
 
Mh! nahisi wanatucheze mazingaombwe tuu hapo! tumaini ni finyuuu kabisa.. wapo pamoja kabisa... Ni ipi kauli ya baba mwenye nyumba had sasa??? hapo ndipo kitandawili cha mazingaombwe kinapokuja..
sammykm70
Join Date: Sat Aug 2009
Posts: 1
Thanks: 1
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
 
Back
Top Bottom