Recent content by upupu

  1. upupu

    JamiiForums Tanzania Travel Tanzania: Share a Picture of anywhere you are now or Were Today

    Usambara
  2. upupu

    JamiiForums Tanzania Pesa ni chafu kuliko unavyofikiri

    Hatari aisee Sent from my HTC_M910x using JamiiForums mobile app
  3. upupu

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwamudu sisimizi kwa njia ipi?

    Je unataka kuwaua au kuwakimbiza tu eneo hilo? Kama kuwakimbiza dawa yao ni simple sana, we mwagia poda tu sehemu husika, hawafiki ng'o, au hata kama walikuwepo basi fasta lazima wakimbie. Mfano hapo kwenye kijiko chako cha gesi, uwe unambagilia kuzunguka, sisimizi hakanyagi. Jaribu hiyo utanipa...
  4. upupu

    JamiiForums Tanzania Hivi STAR TV ndio imekufa au inajiandaa kulipa kodi ya TRA?

    Mbona dira ya dunia inaonekana? Mi huwa naona, kipo. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. upupu

    JamiiForums Tanzania Nataka nikatafute maisha Rwanda, naomba ushauri kwa wenye uzoefu tafadhali

    Rwanda ni kugumu kuliko bongo,
  6. upupu

    JamiiForums Tanzania 15% ya Bodi ya Mikopo; Sheria inasemaje?

    Na bado!
  7. upupu

    JamiiForums Tanzania Polisi: Marufuku Waandishi na Wananchi kukusanyika Polisi watuhumiwa wakiitwa kuhojiwa

    Kuzuia wananchi wasio na kazi kukusanyika vituo vya polisi ilikuwa ni sahihi, ila si kuzuia waandishi wa habari ambao wana vibali vyao vya kufanya kazi
  8. upupu

    JamiiForums Tanzania Haya ni matunda gani jamani na yanaliwa au hayaliwi nimeona sehemu nikaamua kupiga picha

    Tanga yanaitwa makoche, miti yake inaitwa mikoche, matunda yanaliwa, ni yana nyuzi nyingi sana, na kokwa yake iipo kama nazi, kwa maana ile nyama na maji, na matunda haya hupendwa zaidi na nyani na tumbili.
  9. upupu

    JamiiForums Tanzania Binti pekee wa Michael Jackson asema babake aliuawa

    mbona mtoto mzungu
  10. upupu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna viongozi wanaolipwa na serikali ya Misri ili tusitumie maji ya ziwa Victoria

    Hata uganda wanayatumia kwa umeme mto nile, nasasa wana mradi mwingine "victoria falls" nao utakuwa umeme.
  11. upupu

    JamiiForums Tanzania Video: Rais Dkt. Magufuli akiendesha moja ya mabasi ya Mwendokasi wakati wa uzinduzi

    Kila asiyekuwa na leseni akikamatwa na traffic police akisema anajaribu tutaelewana kweli?
  12. upupu

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ninayempenda kanikutanisha na bwana yake, nimetukanwa kama mbwa

    Hahahahaaaaa, humu ndani kuna wehu sana, daah.
  13. upupu

    JamiiForums Tanzania P-Funk: Yule angekuwa binti yangu, mngeona video mbili

    Kauli zake P funky zitamkosesha mkwe
  14. upupu

    JamiiForums Tanzania Majeshi yenye nguvu zaidi duniani kwa sasa

    Korea kaskazini mbona siioni, vurugu zake zote zile lakini imezidiwa na korea kusini?
Back
Top Bottom