Hivi STAR TV ndio imekufa au inajiandaa kulipa kodi ya TRA?

Tangia kufungwa kwa kituo cha Star Tv wiki mbili sasa naona kimya tu kila niki search hio channel kwenye TV siioni
Naskia kunamalalamiko juu ya ulipwaji wa mishahara ya wafanyakazi wa kituo hicho
Je hio kodi italipwa au ndio kituo imetoka hio?
Nimeimiss saana taarifa ya habari ya dira ya dunia ktk Star tv

Sent from Calculator Phone vesion007
Dira ya Dunia inatangazwa na BBC Swahili na sio Star TV.. mbona mimi sijaimiss naiona daily bila kuangalia Star TV
 
Kwa sasa wanarusha matangazo ya FRANCE 24.
SAA 3 USIKU KUNA Dira ya dunia BBC SWAHILI KAMA KAWAIDA.

Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
 
Cha kustaajabu na sisi kama wateja ili kuipata hio star tv channel tunailipia hatuoni bure
Sasa kitu gani kiwafanye hadikukimbikiza deni au kutolipa deni wakati ni haki yao TRA?

Sent from Calculator Phone vesion007

Matajiri walio wengi walikua hawalipi kodi stahiki kilichokua kikifanyika ni kupooza kodi kama ulitakiwa kulipa 100m unaambiwa lipa 20m namimi nipe 10m nitakulinda sasa balaa linalo wakuta nipale wanapo kuja makauzu ambao hawataki kujuana wanakwambia tunapiga mahesabu ya miaka mitano nyuma dadadaki madudu yote yanaibukia hapo
 
Tangia kufungwa kwa kituo cha Star Tv wiki mbili sasa naona kimya tu kila niki search hio channel kwenye TV siioni
Naskia kunamalalamiko juu ya ulipwaji wa mishahara ya wafanyakazi wa kituo hicho
Je hio kodi italipwa au ndio kituo imetoka hio?
Nimeimiss saana taarifa ya habari ya dira ya dunia ktk Star tv

Sent from Calculator Phone vesion007
huyu Diallo wacha ajambishwe alitumika kama toilate pepa kuweka airtime za kumtukana Lowasa na kumbeba yule kijana wa mishentown ......................
 
huyu jamaa ana mtaji wa kutosha, hapo ni kutokea mjanja akampa site akafungua ingine hiyo ya kwanza akatangaza kufilisika tukaendelea kupata uhondo..
 
huyuu diallo wacha ajambishwe alitumika kama toilate pepa kuweka airtime za kumtukana lowasa na kumbeba yule kijana wa mishentown ......................
Nimekupa like yangu lakini dah nakuunga mkono sana huyu diallo aliniudhi sana mda ule mpaka niliapa kusikiliza BBC tu through RFA mda mwingine sitaki kuisikia.
Sasa asante baba Mungu kwa kutuonyesha nguvu zako dhidi ya hawa mabepali maudhi pia uchwara wa CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangia kufungwa kwa kituo cha Star Tv wiki mbili sasa naona kimya tu kila niki search hio channel kwenye TV siioni
Naskia kunamalalamiko juu ya ulipwaji wa mishahara ya wafanyakazi wa kituo hicho
Je hio kodi italipwa au ndio kituo imetoka hio?
Nimeimiss saana taarifa ya habari ya dira ya dunia ktk Star tv

Sent from Calculator Phone vesion007
Ipo hewani kwenye king'amuzi cha azam ila ni wazi kuna ishu, hawatangazi vipindi vyao, wameegesha tu DW, na chaneli za mbele 24/7. Yaani imekuwa kama chaneli ya habari za kimataifa muda wote!!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ipo hewani kwenye king'amuzi cha azam ila ni wazi kuna ishu, hawatangazi vipindi vyao, wameegesha tu DW, na chaneli za mbele 24/7. Yaani imekuwa kama chaneli ya habari za kimataifa muda wote!!
Hapo haipo hewani mkuu

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Tangia kufungwa kwa kituo cha Star Tv wiki mbili sasa naona kimya tu kila niki search hio channel kwenye TV siioni
Naskia kunamalalamiko juu ya ulipwaji wa mishahara ya wafanyakazi wa kituo hicho
Je hio kodi italipwa au ndio kituo imetoka hio?
Nimeimiss saana taarifa ya habari ya dira ya dunia ktk Star tv

Sent from Calculator Phone vesion007
Vipindi vya BBC vipo hewani 24hours. Fungua radio yako
 
Mkuu hua naangalia bbc swahili baada ya taarifa ya habari saa 2usiku
Hapo salim kikeke anakua hewani
Daahh redio nlishasahau kabxaaa mie

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Tangia kufungwa kwa kituo cha Star Tv wiki mbili sasa naona kimya tu kila niki search hio channel kwenye TV siioni
Naskia kunamalalamiko juu ya ulipwaji wa mishahara ya wafanyakazi wa kituo hicho
Je hio kodi italipwa au ndio kituo imetoka hio?
Nimeimiss saana taarifa ya habari ya dira ya dunia ktk Star tv

Sent from Calculator Phone vesion007
Mbona dira ya dunia inaonekana? Mi huwa naona, kipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom