Pesa ni chafu kuliko unavyofikiri

Pesa ni chafu kuliko unavyofikiri

Niliwahi kuchungulia mochwari nikamwona mwosha maiti amepewa elfu 2 akaishika na zile glove zenye maji siku iliyofua nikamwona mchoma nyama anarudisha charge huku anakatakata nyama ndipo nikajua kwanini vyakula vya barabarani vinatuumiza matumbo.Watu wa afya inabidi wafuatili ili swala la mchoma nyama kuwa cashiner kwani hawanawi mikono wanaposhika hela.
 
Habari wakuu?

Mimi si mtu wa kutoka sana viwanja, wiki iliyopita nilifanikiwa kutembea kwenye kumbi fulani za starehe (night club), nikaingia V.I.P lounge, wakati wa kuingia huko nikasachiwa na walinzi wakachukua simu zangu zote na vifaa vyote vya kieletronic.

Sikujua kwanini, ila kuzama ndani, niliyoyakuta ni kama hadithi, yale niliyoona kwenye cinema leo nimeyakuta live; strippers live live, bikini na sidiria tu, wanakatikia wateja wachache waliopo VIP, anakuja ulipokaa anakuchezea, unampa hela, wengine wanamuingizia hela sehemu za siri, nilishangaa, mida ilivyoenda zaidi, wakavua nguo zote na kubaki kama uch* kabisa, majamaa wanawaita, wanawapapasa sehemu zao, wanawapangusia hela, na kuwatunza, hii ikanifanya niconclude kuwa hizi noti tunazotumia ni chafu mno, usidiriki kuitia mdomoni, au kulamba kidole wakati wa kuhesabu, ni CHAFU sana hazifai.
 
pese ikidondoka kwenye haja kubwa alafu iwe noti ya teni?

utaiacha au utaichukua na kuiosha?
 
Mbona kuna vingi vichafu lakini bado watu wanavyo tu.
 
Niliwahi kuchungulia mochwari nikamwona mwosha maiti amepewa elfu 2 akaishika na zile glove zenye maji siku iliyofua nikamwona mchoma nyama anarudisha charge huku anakatakata nyama ndipo nikajua kwanini vyakula vya barabarani vinatuumiza matumbo.Watu wa afya inabidi wafuatili ili swala la mchoma nyama kuwa cashiner kwani hawanawi mikono wanaposhika hela.

Chakula cha barabarani we kula ondoka, kuna imani kuwa baadhi ya mama lishe huvuta wateja kwa kukojolea chakula wakati wanakiandaa.
 
Bwana ----- naomba nionyeshe hizo raha za Dunia hii ya musa zipo pande zipi
 
:spy::spy: Habari wakuu? Mimi si mtu wa kutoka sana viwanja, wiki iliyopita nilifanikiwa kutembea kwenye kumbi fulani za starehe (night club), nikaingia V.I.P lounge, wakati wa kuingia huko nikasachiwa na walinzi wakachukua simu zangu zote na vifaa vyote vya kieletronic.

Sikujua kwanini, ila kuzama ndani, niliyoyakuta ni kama hadithi, yale niliyoona kwenye cinema leo nimeyakuta live; strippers live live, bikini na sidiria tu, wanakatikia wateja wachache waliopo VIP, anakuja ulipokaa anakuchezea, unampa hela, wengine wanamuingizia hela sehemu za siri, nilishangaa, mida ilivyoenda zaidi, wakavua nguo zote na kubaki kama uch* kabisa, majamaa wanawaita, wanawapapasa sehem zao, wanawapangusia hela, na kuwatunza, hii ikanifanya niconclude kuwa hizi noti tunazotumia ni chafu mno, usidiriki kuitia mdomoni, au kulamba kidole wakati wa kuhesabu, ni CHAFU sana hazifai.
mkuu umenisikitisha sana,watu wanayonya huo uke na kuingiza ulimi,itakuwa pesa kaka???karibu mjini
 
Asante mkuu, nimekaribia!! Kijijini sirudi tena, tutabanana hapahapa
 
Habari wakuu?

Mimi si mtu wa kutoka sana viwanja, wiki iliyopita nilifanikiwa kutembea kwenye kumbi fulani za starehe (night club), nikaingia V.I.P lounge, wakati wa kuingia huko nikasachiwa na walinzi wakachukua simu zangu zote na vifaa vyote vya kieletronic.

Sikujua kwanini, ila kuzama ndani, niliyoyakuta ni kama hadithi, yale niliyoona kwenye cinema leo nimeyakuta live; strippers live live, bikini na sidiria tu, wanakatikia wateja wachache waliopo VIP, anakuja ulipokaa anakuchezea, unampa hela, wengine wanamuingizia hela sehemu za siri, nilishangaa, mida ilivyoenda zaidi, wakavua nguo zote na kubaki kama uch* kabisa, majamaa wanawaita, wanawapapasa sehemu zao, wanawapangusia hela, na kuwatunza, hii ikanifanya niconclude kuwa hizi noti tunazotumia ni chafu mno, usidiriki kuitia mdomoni, au kulamba kidole wakati wa kuhesabu, ni CHAFU sana hazifai.

Hakuna tofauti na ya Sodoma na Gomora. Siku ya maangamizi watu watatamani milima uwafunike lakini haitawezekana. Dumu katika Sala si katika makasino.
 
Niliwahi kuchungulia mochwari nikamwona mwosha maiti amepewa elfu 2 akaishika na zile glove zenye maji siku iliyofua nikamwona mchoma nyama anarudisha charge huku anakatakata nyama ndipo nikajua kwanini vyakula vya barabarani vinatuumiza matumbo.Watu wa afya inabidi wafuatili ili swala la mchoma nyama kuwa cashiner kwani hawanawi mikono wanaposhika hela.

Daah hii ni mbaya zaidi, mtu wa mochwari kushika na yale majimaji ya maiti, halafu muuza nyama ndo anaichukua, then anakukatia katia nyama choma yako bila hata kuosha mikono!! Daaaaah, ukiona na kuunganisha matukio unaweza kuzimia.
 
Habari wakuu?

Mimi si mtu wa kutoka sana viwanja, wiki iliyopita nilifanikiwa kutembea kwenye kumbi fulani za starehe (night club), nikaingia V.I.P lounge, wakati wa kuingia huko nikasachiwa na walinzi wakachukua simu zangu zote na vifaa vyote vya kieletronic.

Sikujua kwanini, ila kuzama ndani, niliyoyakuta ni kama hadithi, yale niliyoona kwenye cinema leo nimeyakuta live; strippers live live, bikini na sidiria tu, wanakatikia wateja wachache waliopo VIP, anakuja ulipokaa anakuchezea, unampa hela, wengine wanamuingizia hela sehemu za siri, nilishangaa, mida ilivyoenda zaidi, wakavua nguo zote na kubaki kama uch* kabisa, majamaa wanawaita, wanawapapasa sehemu zao, wanawapangusia hela, na kuwatunza, hii ikanifanya niconclude kuwa hizi noti tunazotumia ni chafu mno, usidiriki kuitia mdomoni, au kulamba kidole wakati wa kuhesabu, ni CHAFU sana hazifai.

hiyo kumbi ipo dar? kama ipo inaitwaje? kamwamu
 
Ona walivyotoka kwenye mstari.Mada ilikuwa uchafu wa pesa.Wengine wamekwenda kwenye ulipo ukumbi na starehe zake!
 
Back
Top Bottom