Recent content by Unwanted

  1. Unwanted

    Yanga mlidhani tarehe 2 mbali?

    Yanga 3 - African 1
  2. Unwanted

    Mtu anatoa pesa ATM anaanza kuzihesabu palepale

    Mi ilinitokea hiyo mwaka huu, nimetoa ATM laki naenda lunch nakuta nina 91000,bahati nzuri ilikuwa karibu na bank.nikatoa taarifa wakasema watafuatilia baada ya wiki wakacredit account 9000.Kwa hiyo huwa inatokea ingawa mara chache katika upangaji wa pesa kwenye machine
  3. Unwanted

    Kwanini isianzishwe route ya Goba, Makongo hadi Kariakoo?

    Imeanza ya Mbezi luis goba simu2000 kupitia makongo
  4. Unwanted

    Msaada; Naweza vipi Kupata API ya benki ya NMB.

    Pitia hii link Au nenda kwenye account yao ya twitter utaona https://obp-api-sandbox.nmbbank.co.tz/
  5. Unwanted

    Napenda kujifunza Programming language

    Kwa kiasi navyojua, ili kuwa programmer ni rahisi sana cha msingi ni kujua utakuwa upande gani, mfano unataka kuwa developer wa mobile app na kwenye mobile app kuna lugha tofauti za kuweza kukufanya ukamilishe ndoto au lengo lako la kuwa programmer wa mobile app, hivyo hivyo kwenye desktop app...
  6. Unwanted

    Nahitaji Mtaalam wa mfumo wa kadi za kukingia maji

    Kama card hii, unaweza angalia hii video kuona jinsi inavyofanya kazi
  7. Unwanted

    Application zinazotumia Internet ila hazihitaji data

    Nala ni application inayofanya kazi offline, ambayo hutumia mfumo wa SSD kufanya mawasiliano na mtandao husika Mfano huingia makubaliano na voda kuwa mtumia wa nala ataweza kufanya miamala kutumia SSD walizosajiri kwao. Unataka kujua salio la voda app itatuma code kwa njia ya ssd ikiwa na...
  8. Unwanted

    Nisome nini ili niwe miongoni mwa "white hackers" hatari duniani kwenye suala la computer na mitandao kiujumla?

    Hacking hakuna cheti na hairuhusiwi duniani, sasa cheti cha nini? Na ulishawahi kusikia kuna company inayojihusisha na hacking? Na hacking haina ushirika wa kujifunza, ndio maana hackers ni 12-20s na ni kutoka home
  9. Unwanted

    Nisome nini ili niwe miongoni mwa "white hackers" hatari duniani kwenye suala la computer na mitandao kiujumla?

    Umekuja kasi sana, ok hacking anayoitaka huwezi somea popote na haina degree wa diploma. Ni passion tu msimdanganye kwenda darasani.
  10. Unwanted

    Nisome nini ili niwe miongoni mwa "white hackers" hatari duniani kwenye suala la computer na mitandao kiujumla?

    Inawezekana, lakini naamini una majukumu binafsi na familia. Hiyo kazi inatakiwa utulie, sio unawaza pesa ya kula utapata wapi sijui mtoto anaumwa. Ndio maana wahusika wakuu na hiyo fani wengi ni miaka 12-25
Back
Top Bottom