Imeanza ya Mbezi luis goba simu2000 kupitia makongoHivi kwanini isiwepo Route ya Goba,makongo mpaka Gerezani?
Au Goba hadi tabata segerea?
Au Goba to temeke??
Abiria kwa route hiyo wapo wa kutosha, mkuu kama una hela nunua tu wala usijali.Nunua daladala uweke route shida nn kwan