Nahitaji Mtaalam wa mfumo wa kadi za kukingia maji

Nahitaji Mtaalam wa mfumo wa kadi za kukingia maji

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,808
Reaction score
2,728
Habari. Nina kiosk cha maji hiki. Nahitaji mtaalam wa kuniweke mfumo wa kutumia kadi ili kukinga/kuchota maji. Piga 0713039875


eco water.PNG
 


Kama card hii, unaweza angalia hii video kuona jinsi inavyofanya kazi
IMG-20200712-WA0000.jpg
 
Kitu kama hiki naona kipo UDOM, kuna kadi maalum kwaajili ya kupata maji kama anavyosema mtoa taarifa
 
Back
Top Bottom