Hii meli inatoa matibabu bure na mheshimiwa jakaya ndo aliorganize mpaka hii meli ikawa inakuja bongo.. Ilikuja mwaka 2010 ndo imekuja tena mwaka huu...Na utaratibu wa hii meli ilikuwa inapokelewa na meya wa jiji na sio kubwa la mazero
Hizi nguvu zote anazotumia angezitumia kwa mke wake angeshapata watoto...Mwaka wa sita kwenye ndoa familia ina baba na mama tu halafu anapoteza muda mwingi kuzurura na kukesha kwenye ma night club usiku....
NAikumbuka ile clip niliyoiangalia Millard ayo wakati wanatoka kumhoji dk shika anarudi nyumbani anawaaga majirani nkuwaambia usiku mwema....Kuna sauti ya mwanamke inampa pole n kumwambia asilale mpaka apewe chakula hii kauli iliniumiza sana....
Ina maana wamemchukua na kwenda kumhoji bila hata...
Hakuna maslah yoyote anayopata katika kihojiwa wala kutembelewa na hizo media...Wao wanaenda kama wana habari kuchukua habari na kuzisambaza kwa manufaa yao wakimwacha mzee wa watu kama walivyomkuta...Leo nitaenda kumtembelea dk shika anapoishi kwa niaba ya vijana wenzangu kadhaa kwenda kuongea...
BAlozi chokala ni mzee wangu wa karibu sana ingawa najua kafanya kazi muda mrefu pale ikulu akiwa kama mwandishi wa habari wa raisi na kuna uwezekano mkubwa wa yeye pia kuwa na mafunzo ya secret service...Sina hakika kama nikimuuliza anaweza kunijibu kiundani sana lakini kwa maelezo yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.