Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,176
- 48,460
CHADEMA zisikilizeni sauti hizi toka nyikani zinalia huku zikiomboleza, Ole wake azibae masikio wakati wa Kimbunga!!
Hata Zimbabwe ZANU PF haina wapinzani!Hatuna upinzani nchi hii labda siku moja jeshi litakuwa wapinzani wa kweli wa ccm km Zimbambwe but not such bushit opposition parties...! I proud of CCM and fearful opposition parties worries!
Hapa ni kwa Vile naandika kwa Uma! Aliyesimamia Tundu Lissu Kpigwa Risasi hakuna Jinsi! Sisemi aggressive kwa kutangaza au kuruka Ruka! Ila Kimya kimya na kwa akili sana! Ila kwa njia ambayo watajua Wamelipwa! Ili wajue the magic of intimidation shall never work. Katika kujibu Mapigo Duniani kote Kuna mambo mnafanya Kimya na kwa akili sana! Na Kuna Mambo unatakiwa kufanya kwa wazi kila mtu ajue. Na inatakiwa kupima kipimo ambacho kitamgharimu mhusika in a way atafikiri sana kurudia tena ujinga kama huo!I have a lot of respect for what you write most of the time.
Ila haya ni maisha halisi na sio movie.
Hata kukiwa na lazima ya 'kureact', ni mkakati zaidi unatakiwa, NOT HOT HEADS.
Unajua nguvu waliyonayo watesi wetu na vyombo kibao vinavyowatii. Usiwapuue, wana uhalali wa kufanya maamuzi.
Mwenyewe nasema, Chadema 'ijiongeze'. Ila kwa mkakati na akili kubwa.
Somebody can still be very aggressive even in the background, mimi sina mandate yoyote Chadema! But there comes a time ambapo one can do anything in an individual level. It will be very foolish of me if I tell you "What I can n will do"We mshikaji nakukubaligi sana kwa hoja zako! Toka ughaibuni njoo maskini kwa hakika utaaminiwa na utapewa nafasi nzuri tuu CHADEMA. Nitakua wa kwanza kukupigia Chapuo hata kwenye Unaibu katibu mkuu. Ila nakuona uko very aggressive, unaweza kugombana na viongozi sana.
kweli mkuu. ukilinganisha na upinzani hapo Kenya tu, UKAWA wapo nyoronyoro mnoooo!Kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu CHADEMA, bado hawaamini kuwa uhuni wanaofanyiwa unatokea mbali zaidi ya polisi, zaidi ya wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa. Nilikuwa nikiwasikiliza Lema na Nassari walivyokuwa wakidai watampelekea mh. Rais ushahidi wa madiwani kuhongwa nikasikia kichefuchefu!
Nafikiri nilisema mahali ninyi toeni huo ushahidi, in public, sasa baada ya kubezwa na TAKUKURU na Mnyeti kupewa ukuu wa mkoa, kupandishwa, nadhani akili itawajia. Maana walichokuwa wakikifanya ni kumtumia mtu ujumbe kuwa, "The magic of fear is working"
Na kama hawatakuwa na mkakati wa pamoja wa kujua namna ya kupambana kisiasa very forcefully, 2020 wakibakizwa wabunge 5 wa CHADEMA niiteni mbwa!
Why I say so!
1) Kama mwenzenu anapigwa risasi mchana kweupe, reaction inakuwa ni unyonge, ukishinda ubunge wakamtangaza mwingine utafanyaje?
2) Kama Kigaila anakamatwa na polisi kwa kuhoji kwanini Makonda anazunguka na wenye bunduki reaction yenu inakuwa hii, mkinyang'anywa ubunge mtaweza kufanya nini?
3) Kama mtu bustani zako zinaharibuwa unalia lia unajibu uhuni kwa sheria ukinyang'anywa ubunge hata kama umeshinda kwa asilimia 90% utafanyaje!
4) Hivi neno, " Jecha apewe tuzo" linaashiria nini kwenu?
5) Hivi pamoja na kuonyesha wazi Mnyeti alihusika kuhonga madiwani na bado akapandishwa cheo inaashiria nini kwenu!
6) Kilichonichefua Kuliko vyote Ni pale Lipumba alipowafukuza Wabunge halali na Akawachagua Wabunge Ndondocha fake! Kwa msaada wa Ndugai na Magufuli, Reaction ya Ukawa Ikawa ya Kijinga Kijinga, ati wanakimbilia Mahakamani! 2020 Mmeshamthibitishia Magufuli Magic yake ya Uhuni, It actually works! Mtaona Undundu Mtakaofanyiwa!
Endeleeni kulia goodluck, pengine mtaonewa huruma! Guys mnachokifanya ni kutuma ujumbe kuwa hata mfanyiwe nini hamwezi fanya lolote, "And the envelopes will be pushed real far in 2020 by the look of things"
Magufuli hata Akipata asilimia 2% yaKura zote ataangiza itangazwe amepata kura 98%. Tathmini ya kufanya sasa miaka miwili kabla ni je akifanya hivyo Mtafanya nini? Ushahidi wa kufanya hilo Uko wapi? Kwenye siasa kuna Matukio yanatokea, yanakupa fursa ya Justification ya Kufanya Lolote na Wananchi wanawaelewa, na Dunia inaelewa, Mfano Mzuri ni Tundu Lissu, alipopigwa Risasi Mlikimbiza Nairobi, Nawapongeza sana hata Mimi ningefanya hivyo. Lakini Nisingeishia hapo, wakati Lissu akiwa out of the line of fire! Mlitakiwa Muwatafute Wauaji na hasa yule Co ordinator! Ili iwe Polisi wakiwakamata kuwe ni Kuwanusuru! Sasa mliishia Kupiga tu Kelele matokeo yake ndio Kuna ngedere bungeni anajaribu hata kulifanyia Dhihaka.
My Take! Namheshimu Lowassa ila anawapa Matumaini ya Uongo kwa Kuwashauri Muache siasa za harakati. Lowassa ni Mzee, sisemi ni Mwoga, Lakini ni Mwoga wa Kupoteza! Kuna siku polisi walimlazimisha kuingia kwenye gari aache kuwasalimia wananchi haraka haraka akaingia sasa sijui ni Familia yake ilimpa masharti asijiingize Kwenye shida! But Mheshimiwa Lowassa , "You cant have your cake and eat it" Hata kama Yeye hatakuwa Front line kuwazuia Vijana Kuwa Ngangari in Action kama Kenya! In the End hata yeye atapoteza.
I solute Wapinzani wa Kenya, Hawataki Upuuzi, N the mount War in all fronts, Mahakamani, In the Streets, In the Media na In the International platforms.
Halafu acheni madharau!
Si ulimpongeza kenyatta kwa kuwapiga mabomu wapinzani wewe?I solute Wapinzani wa Kenya, Hawataki Upuuzi, N the mount War in all fronts, Mahakamani, In the Streets, In the Media na In the International platforms.
Hell No huo ni Uwongo! Mimi siwezi fanya hivyo in million years Nilikuwa nikiongea kwa Picha! Soma vizuri na usikilize Video hii pia!Si ulimpongeza kenyatta kwa kuwapiga mabomu wapinzani wewe?
Tundu Lissu aliopigwa Risasi kesho yake tu walitakiwa wanyanyue mhusika aliyesimamia zoezi! Period, matukio mengine kukosa kureact ni kosa kubwa kubwa mno! Hara unapokuwa umepata uhalali wa kureact na kila mtu atakuelewa!Nafikiri nd Marandu you ha a valid point but short suggestion! Inawezekana kuwa kwako ugaibuni has blinded you from realities that Chadema as a party faces. Nafikiri hatoshi tu kusuggest kuwa ENL awe 'ngunguri', yaani akomae tu kiuanaharakati na waache lots of underground initiatives ambazo possibly zitakuwa na better yield come 2020.
Mawazo yako ni mema lakini no vizuri kusisitiza uvumilivu wa kimkakati!
Mkuu si wewe uje tujiunge kwenye harakati?? Mbona wewe uko Marekani unatanua tu halafu unataka wapigwe mabomu wakati wewe unaandika kwenye JF tu!! Njoo basi tunakusubiri mkuu!!Kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu CHADEMA, bado hawaamini kuwa uhuni wanaofanyiwa unatokea mbali zaidi ya polisi, zaidi ya wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa. Nilikuwa nikiwasikiliza Lema na Nassari walivyokuwa wakidai watampelekea mh. Rais ushahidi wa madiwani kuhongwa nikasikia kichefuchefu!
Nafikiri nilisema mahali ninyi toeni huo ushahidi, in public, sasa baada ya kubezwa na TAKUKURU na Mnyeti kupewa ukuu wa mkoa, kupandishwa, nadhani akili itawajia. Maana walichokuwa wakikifanya ni kumtumia mtu ujumbe kuwa, "The magic of fear is working"
Na kama hawatakuwa na mkakati wa pamoja wa kujua namna ya kupambana kisiasa very forcefully, 2020 wakibakizwa wabunge 5 wa CHADEMA niiteni mbwa!
Why I say so!
1) Kama mwenzenu anapigwa risasi mchana kweupe, reaction inakuwa ni unyonge, ukishinda ubunge wakamtangaza mwingine utafanyaje?
2) Kama Kigaila anakamatwa na polisi kwa kuhoji kwanini Makonda anazunguka na wenye bunduki reaction yenu inakuwa hii, mkinyang'anywa ubunge mtaweza kufanya nini?
3) Kama mtu bustani zako zinaharibuwa unalia lia unajibu uhuni kwa sheria ukinyang'anywa ubunge hata kama umeshinda kwa asilimia 90% utafanyaje!
4) Hivi neno, " Jecha apewe tuzo" linaashiria nini kwenu?
5) Hivi pamoja na kuonyesha wazi Mnyeti alihusika kuhonga madiwani na bado akapandishwa cheo inaashiria nini kwenu!
6) Kilichonichefua Kuliko vyote Ni pale Lipumba alipowafukuza Wabunge halali na Akawachagua Wabunge Ndondocha fake! Kwa msaada wa Ndugai na Magufuli, Reaction ya Ukawa Ikawa ya Kijinga Kijinga, ati wanakimbilia Mahakamani! 2020 Mmeshamthibitishia Magufuli Magic yake ya Uhuni, It actually works! Mtaona Undundu Mtakaofanyiwa!
Endeleeni kulia goodluck, pengine mtaonewa huruma! Guys mnachokifanya ni kutuma ujumbe kuwa hata mfanyiwe nini hamwezi fanya lolote, "And the envelopes will be pushed real far in 2020 by the look of things"
Magufuli hata Akipata asilimia 2% yaKura zote ataangiza itangazwe amepata kura 98%. Tathmini ya kufanya sasa miaka miwili kabla ni je akifanya hivyo Mtafanya nini? Ushahidi wa kufanya hilo Uko wapi? Kwenye siasa kuna Matukio yanatokea, yanakupa fursa ya Justification ya Kufanya Lolote na Wananchi wanawaelewa, na Dunia inaelewa, Mfano Mzuri ni Tundu Lissu, alipopigwa Risasi Mlikimbiza Nairobi, Nawapongeza sana hata Mimi ningefanya hivyo. Lakini Nisingeishia hapo, wakati Lissu akiwa out of the line of fire! Mlitakiwa Muwatafute Wauaji na hasa yule Co ordinator! Ili iwe Polisi wakiwakamata kuwe ni Kuwanusuru! Sasa mliishia Kupiga tu Kelele matokeo yake ndio Kuna ngedere bungeni anajaribu hata kulifanyia Dhihaka.
My Take! Namheshimu Lowassa ila anawapa Matumaini ya Uongo kwa Kuwashauri Muache siasa za harakati. Lowassa ni Mzee, sisemi ni Mwoga, Lakini ni Mwoga wa Kupoteza! Kuna siku polisi walimlazimisha kuingia kwenye gari aache kuwasalimia wananchi haraka haraka akaingia sasa sijui ni Familia yake ilimpa masharti asijiingize Kwenye shida! But Mheshimiwa Lowassa , "You cant have your cake and eat it" Hata kama Yeye hatakuwa Front line kuwazuia Vijana Kuwa Ngangari in Action kama Kenya! In the End hata yeye atapoteza.
I solute Wapinzani wa Kenya, Hawataki Upuuzi, N the mount War in all fronts, Mahakamani, In the Streets, In the Media na In the International platforms.
Halafu acheni madharau!
Nimekuelewa kaka...KIukweli kwa nchi nyingi za kiafrika huwezi kuomba uongozi ukiwa mpinzani ni lazima upiganie kweli kupata hyo nafasiKuna kitu kinanishangaza sana kuhusu CHADEMA, bado hawaamini kuwa uhuni wanaofanyiwa unatokea mbali zaidi ya polisi, zaidi ya wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa. Nilikuwa nikiwasikiliza Lema na Nassari walivyokuwa wakidai watampelekea mh. Rais ushahidi wa madiwani kuhongwa nikasikia kichefuchefu!
Nafikiri nilisema mahali ninyi toeni huo ushahidi, in public, sasa baada ya kubezwa na TAKUKURU na Mnyeti kupewa ukuu wa mkoa, kupandishwa, nadhani akili itawajia. Maana walichokuwa wakikifanya ni kumtumia mtu ujumbe kuwa, "The magic of fear is working"
Na kama hawatakuwa na mkakati wa pamoja wa kujua namna ya kupambana kisiasa very forcefully, 2020 wakibakizwa wabunge 5 wa CHADEMA niiteni mbwa!
Why I say so!
1) Kama mwenzenu anapigwa risasi mchana kweupe, reaction inakuwa ni unyonge, ukishinda ubunge wakamtangaza mwingine utafanyaje?
2) Kama Kigaila anakamatwa na polisi kwa kuhoji kwanini Makonda anazunguka na wenye bunduki reaction yenu inakuwa hii, mkinyang'anywa ubunge mtaweza kufanya nini?
3) Kama mtu bustani zako zinaharibuwa unalia lia unajibu uhuni kwa sheria ukinyang'anywa ubunge hata kama umeshinda kwa asilimia 90% utafanyaje!
4) Hivi neno, " Jecha apewe tuzo" linaashiria nini kwenu?
5) Hivi pamoja na kuonyesha wazi Mnyeti alihusika kuhonga madiwani na bado akapandishwa cheo inaashiria nini kwenu!
6) Kilichonichefua Kuliko vyote Ni pale Lipumba alipowafukuza Wabunge halali na Akawachagua Wabunge Ndondocha fake! Kwa msaada wa Ndugai na Magufuli, Reaction ya Ukawa Ikawa ya Kijinga Kijinga, ati wanakimbilia Mahakamani! 2020 Mmeshamthibitishia Magufuli Magic yake ya Uhuni, It actually works! Mtaona Undundu Mtakaofanyiwa!
Endeleeni kulia goodluck, pengine mtaonewa huruma! Guys mnachokifanya ni kutuma ujumbe kuwa hata mfanyiwe nini hamwezi fanya lolote, "And the envelopes will be pushed real far in 2020 by the look of things"
Magufuli hata Akipata asilimia 2% yaKura zote ataangiza itangazwe amepata kura 98%. Tathmini ya kufanya sasa miaka miwili kabla ni je akifanya hivyo Mtafanya nini? Ushahidi wa kufanya hilo Uko wapi? Kwenye siasa kuna Matukio yanatokea, yanakupa fursa ya Justification ya Kufanya Lolote na Wananchi wanawaelewa, na Dunia inaelewa, Mfano Mzuri ni Tundu Lissu, alipopigwa Risasi Mlikimbiza Nairobi, Nawapongeza sana hata Mimi ningefanya hivyo. Lakini Nisingeishia hapo, wakati Lissu akiwa out of the line of fire! Mlitakiwa Muwatafute Wauaji na hasa yule Co ordinator! Ili iwe Polisi wakiwakamata kuwe ni Kuwanusuru! Sasa mliishia Kupiga tu Kelele matokeo yake ndio Kuna ngedere bungeni anajaribu hata kulifanyia Dhihaka.
My Take! Namheshimu Lowassa ila anawapa Matumaini ya Uongo kwa Kuwashauri Muache siasa za harakati. Lowassa ni Mzee, sisemi ni Mwoga, Lakini ni Mwoga wa Kupoteza! Kuna siku polisi walimlazimisha kuingia kwenye gari aache kuwasalimia wananchi haraka haraka akaingia sasa sijui ni Familia yake ilimpa masharti asijiingize Kwenye shida! But Mheshimiwa Lowassa , "You cant have your cake and eat it" Hata kama Yeye hatakuwa Front line kuwazuia Vijana Kuwa Ngangari in Action kama Kenya! In the End hata yeye atapoteza.
I solute Wapinzani wa Kenya, Hawataki Upuuzi, N the mount War in all fronts, Mahakamani, In the Streets, In the Media na In the International platforms.
Halafu acheni madharau!
Na kama mhusika hakujulikana mapema wangefanyaje wakati ambapo uhai wa TAML ulikuwa mashakani? No, Mimi nafikiri tuwape benefit of the doubt kwamba they had good reason why not react in the manner you are suggesting!Tundu Lissu aliopigwa Risasi kesho yake tu walitakiwa wanyanyue mhusika aliyesimamia zoezi! Period, matukio mengine kukosa kureact ni kosa kubwa kubwa mno! Hara unapokuwa umepata uhalali wa kureact na kila mtu atakuelewa!
Wenzako walikua wanalenga kula michango ya mgonjwa na sio kutafuta watuhumiwaTundu Lissu aliopigwa Risasi kesho yake tu walitakiwa wanyanyue mhusika aliyesimamia zoezi! Period, matukio mengine kukosa kureact ni kosa kubwa kubwa mno! Hara unapokuwa umepata uhalali wa kureact na kila mtu atakuelewa!
Thank you! But Kikwete amefanya mengi mara 1000 kuliko Magufuli! Lipi jipya alilofanya Magufuli mpaka sasa zaidi ya Usanii? Reli standard gage ni ya Kikwete
Flyover ni za Kikwete
Daraja la Kigamboni ni Kikwete!
Aichofanikiwa kukifanya Magufuli ni kubomoa Uchumimalioujenga Kikwete! Demokrasia na uhusiano wa kimataifa.
Nini zaidi ya Kupromote wahuni, watoaji rushwa, kuranda randa na Lipumba na Vile Vichwa vya Treni anavyo vikimbia?
Chadema ilitumia nguvu nyingi sana from 2005 to 2015 kujijenga kiasi kwamba hata top leadership ya chama imeexhaust kwa kazi kubwa waliyoifanya kujibrand na kupata wanachama na wafuasi.
Waliusoma vyema uongozi wa awamu ya nne wakatambua mapungufu yake mengi nakuyatumia kujijenga na CCM nao walishindwa kabisa kukabiliana na nguvu ya chadema.
Tatizo la chadema limekuja baada ya uchaguzi kujikuta wakipigwa mweleka tena licha ya nguvu kubwa waliyowekeza. Ikalazimika watafute kivuli cha kupumzika na kujihoji kulikoni tumeshindwa kufika kileleni.
Tathmini yao huenda iliwapa majibu mepesi au wameshindwa kupata nguvu wainukaje na kuanza safari badala yake kila mmoja anaishia kuinuka na kuchungulia mbele kisha anakaa.
Kibaya zaidi ni kwamba wameshindwa kupata njia mbadala ya kupambana na utawala wa sasa amabao una makosa mengi kuliko hata awamu ya nne kichama which the only it has is ubabe na vyombo vya dola.
Kosa jingine walilolifanya ni kutokufanya reshuffle ya top leadership walete nguvu mpya na ari mpya ikichagizwa na mikakati mipya ya kuhakikisha wanafika kileleni.
Na wakiendelea hivi 2020 watafanyia kampeni in police cells and there will be no body yo rescue them.