Recent content by Unknown

  1. U

    JamiiForums Tanzania Internet ya bure imeharibu betri ya simu yangu

    Nimetumia thunderstorm VPN inakubali lakini iko slow Sana
  2. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uteuzi wa wajumbe wa IEBC Kenya

    Naomba kujua ni utaratibu upi unatumika kuteua mwenyekiti na wajumbe wa tume huru ya uchaguzi na mipaka kenya.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Msaada taa za LED strip

    Naomba kujua led strip light au wengine wanaita snake light Zina wat ngapi kwa meter moja.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Forums za Uganda na Kenya zilizo active

    Hlw
  5. U

    JamiiForums Tanzania Forums za Uganda na Kenya zilizo active

    Naomba kupatiwa majina/link ya forums ambazo ziko active kama JamiiForums za Kenya na Uganda
  6. U

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO nimenunua umeme wa laki moja badala wa elfu 10,je naweza kurudishiwa fedha , naomba msaada wa haraka,
  7. U

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Azam na ubora wa taa

    Nangalia mechi ya azam na gwambina, vivuli vya wachezaji ni vingi mno, mchezaji mmoja anaweza kuwa na vivuli vinne, hii inahalibu ubora wa picha. Wakuu nyie mnaonaje au ni ushamba wangu
  8. U

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni chaneli gani zinazoonesha Euro kupitia king'amuzi cha Azam?

    Naomba mwenye kujua channel yeyote inayoonesha mechi zote za EURO, kwenye king'amuzi cha Azam.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Simu nzuri kwa gharama ya laki tatu (300k)

    Oppo A15
  10. U

    JamiiForums Tanzania Amnesty International yaitaka Kenya kumpa hifadhi Godbless Lema kulingana na sheria ya wakimbizi, yasema kumrudisha nchini ni kinyume cha sheria

    Msaada:hivi ukipewa hifadhi na Nchi fulani, hiyo Nchi itagharamia maisha yako mfano hela ya chakula, nyumba n. k
  11. U

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Msaada naomba kujua free app ya kurestore data zilizofutika kwenye recyclebin
  12. U

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kushangiliwa kwa nguvu A. Kusini ina maana gani kwa CHADEMA?

    Wale washangiliaji walishaandaliwa kwa kazi hiyo na waliwekwa kwenye eneo maalumu.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Simu yangu haionekani kwenye laptop(lenovo) nikiunganisha kwa kutumia USB cable
Back
Top Bottom