Tatizo lolote la PC/device

Mwanzoni apps zilikuwa zina-run kama kawaida, baadaye zikaanza kugoma kufunguka na kuniletea meseji hii;
"This app can't run on your PC". Tatizo ni mini mpaka apps zisifunguke tofauti na hapo awali?
Izo zimeliwa na wadudu
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya

Karibuni sana wakuu

Pirate
Namna ya kuactivate Microsoft Office 2013 bila keys.
Ninatumia antivirus ya Bitdifender so KMSpico huwa inatafunwa mapema tu. Na sijajua namna ya kudeactivate antivirus ili nifanye michakato
 
Namna ya kuactivate Microsoft Office 2013 bila keys.
Ninatumia antivirus ya Bitdifender so KMSpico huwa inatafunwa mapema tu. Na sijajua namna ya kudeactivate antivirus ili nifanye michakato

Exclude file ilo lenye kms uliwwke kwenye exclusion files, aitoliwa tema
 
Ebwana vp, Jana pc yangu iliniletea error code 0xc0000221 , nikaplug in flash drive yenye window ili miweze Fanya repair sasa ninaShangaa toka Jana saa tatu kasoro mpaka sasa hv inaniletea hvyo, should wait au install a new one.
1558845732401.jpeg
 
Ebwana vp, Jana pc yangu iliniletea error code 0xc0000221 , nikaplug in flash drive yenye window ili miweze Fanya repair sasa ninaShangaa toka Jana saa tatu kasoro mpaka sasa hv inaniletea hvyo, should wait au install a new one.View attachment 1107938
Kama ina restore partition unaweza irudisha nyuma kwenye point ilipokua inafanya kazi fresh
 
How do I do this? Help please. Do I have to create that exclusion file?


Open Windows Defender Security Center.

Click Virus & threat protection.

Click the Virus & threat protection option.

Under "Exclusions," click the Add or remove exclusions option.

Click the Add an exclusion button.

Select the content you want to exclude from

Windows Defender Antivirus, such as:

File — Excludes only one file per exclusion.

Folder — Excludes a folder and its content, including sub-folders.

File type — Instead of excluding files and folder locations, you can configure the antivirus to ignore files with a specific extension no matter their location.

Process — Excludes background processes by name.


Continue with the on-screen directions to add the new exclusion depending on your selection. (For example, if you select File, you simply need to browse and select the file you want to exclude. Or if you select the File type option, you only need to enter the extension of the file format to skip during scans.)



Once you complete these steps, you may need to repeat the instructions to exclude other items you don't want the antivirus to scan to avoid false positives.

At any time, you can remove an exclusion using the same instructions, but on step No. 5, make sure to select the item and click the Remove button
 
Habari wakuu, samahani naombeni msaada wenu Laptop yangu aina ya Dell e5400, imejilock BIOS nmejaribu kila njia nmeshindwa naombeni msaada wenu.
 
Mkuu pirate naomba msaada wako
Nina hp pc inazingua kuwaka inatumia muda mrefu mpk kuwaka(km dakika 5).ila ikiwaka kila inarespond vzr tu ila window deffender imekuwa disabled na connection zote kama (wifi)hazifanyi kazi.
Tatizo linaweza kuwa ni window kucrash.msaada tafadhali.
Nb; window 8pro
 
Nina flash imejiweka readonly (write protected) nawezaje kuirekebisha nimejaribu njia kama nne zote zimegoma....nimetumia cmd,na software kuformat ila zote zimebounce msaada please
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya

Karibuni sana wakuu

Pirate
Kama PC imegoma kuINSTALL program fulani na inakuandikia kwanza uweke .NET Framework 4.5 hapo unafanyaje au unatakiwa kupiga window chini.Hii kitu imenikwamisha maprogram mengi sana kuyaingiza kwenye mashine yangu HP ProBook 6470b 64-bit Window 7
 
Kuna kipindi nilikuwa na tatizo kama hili ila nilifamya mautundu hadi nikafanikiwa
Nina flash imejiweka readonly (write protected) nawezaje kuirekebisha nimejaribu njia kama nne zote zimegoma....nimetumia cmd,na software kuformat ila zote zimebounce msaada please
 
Back
Top Bottom