Recent content by Unju27

  1. Unju27

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Yeah Hakika
  2. Unju27

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sure kabisa unakuwa unajua mapemaaaaaa sio kuweka hope kwenye hakuna.
  3. Unju27

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hahaha Kaaaaaazi kweli kweli mfumo unatuchanganya jobless mpaka hao wanao uendesha... 😁 😁
  4. Unju27

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hatimae washanichana ukweli hakuna tena matumaini ni kusaka nafasi nyingine.. 😁 😁
  5. Unju27

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mfumo wa ujanja ujanja mnoo ni kama ccm nida na tume ya uchaguzi Tanzania mifumo kuwa kitu kimoko.. 😄 😄
  6. Unju27

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Huko kwa wanasiasa ata sio kwamba wanasingiziwa ukweli ni kwamba wanazivuna pesa,, sisi tuendelee kuishi kwa imani na sie tupate huo mkate (check number) tuzikombea familia zetu japo sio kwa wizi..!!
  7. Unju27

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Okay nikajua kwa Halmashauri lazima uwende ukafanyie written katika Halmashauri ilipo.
  8. Unju27

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hivi usaili wa Halmashauri, unatakiwa kwenda kufanyia usaili katika Halmashauri husika mfano kama uliomba kazi Halmashauri ya NANYUMBU-MTWARA inabidi usaili ukafanyie huko kuanzia written mpaka oral ama, na sio kuanza kufanya kikanda kama kawaida.!!
  9. Unju27

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Tunamiliki imani tu huruma kwa nchi kama Tanzania kutegemea imani maana utakuwa disappointed mpaka unaingia kaburini.... Ila hakuna kukata tamaa kwasababu asie kata tamaa hana tamaa.!! 🙏🏾🙏🏾
  10. Unju27

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hahaha na umemaliza mwaka gani chuo. 😄 😄
  11. Unju27

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera sana sana mkuu.
  12. Unju27

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mahakama Tanzania paper lilikuwa rahisi nini mbona ni majanga hivi japo cutting point hamtaki kuonyesha.. 😄 😄
  13. Unju27

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Shukrani sana sana mkuu, tupo pamoja..!!
  14. Unju27

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Jirani na shamba la miwa TPC.. 😄 😄
  15. Unju27

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hakika ndugu yangu ngoja tusizidishe maombi 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Back
Top Bottom