Recent content by UNIQUE

  1. U

    JamiiForums Tanzania 'PRESS Conference'...

    Kama clarity hakuna urais atauweza kweli. Anashangaa nini! Ccm ndo zao!kma huna mtaji(rushwa) wa kugombea acha !
  2. U

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kutafuna mchele mbichi/udongo

    Kunyweni bio water natatizo yataisha. Bo water yanapatikanaje inabidi mnitafute. Andikeni email zenu na no za simu tuwasiliane.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Muuza magazeti aliyedaiwa kuuawa maandamano Chadema aibuka

    Isuue mtu kafa basi! Si ndege naye ana thamani
  4. U

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wanafanya nini? Kumbe Hussein Bashe si Raia!

    Imekuwa kasumba sasa. Oh wakenya wanamaliza kazi zetu. Uraia sasa hivi si kitu cha kutamba nacho. Ukiwa na mshiko unaamua uwe raia wa wapi. Watz tuache ushamba. Mbona wageni wanakula maisha kuliko wenyeji?
  5. U

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wanafanya nini? Kumbe Hussein Bashe si Raia!

    Acha wivu kwani uraia wako unakusaidia nini? Acha naye ale hata wazawa ni fisi tu. Pengine ana roho nzuri huwezi jua.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Hiyo ni kazi ndogo nitafute nikuelekeze la kufanya. Nitumie email na smu yako
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    Mti wenye matunda ndio unarushiwa mawe! Haisaidii. Watz wanaakili wanaona na kusikia!
  8. U

    JamiiForums Tanzania Serikali sasa ijifunze toka Tigo kwa wanaovujisha siri zake nje

    Moja tunataka toka kwako je wamwsema ukweli? Kama ni kweli basi ni kawaida ukisema ukweli utakuwa kama yesu. Hao vijana wa tigo wamenipa raha sanaaaaaaaaaaaaaa. Walio kama hao ni wengi ndo maaana kuwafukuza haisaidii. Iko siku hata hiyo tigo itafungiwa
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wanyamapori afukuzwa kazi

    Na waliowatuma je? Shida ni mfumo! Wataachiwa kama prof mahalu. Wewe ni nani uuze wanyama kama pipi bila kuruhusiwa na wenye nchi? Wasiwaonee wawaache waende zao
  10. U

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame hana hata Diploma, soma historia yake hapa!!

    Kinachomssaidia kagame ni kwamba anakubali kuwa hajui na kutafuta wanaojua wamuelekeze. Hata angesoma vipi asingeweza kujua yote. Pia ana imani fulani moyoni mwake. Jiulize rais wako ana imani gani? Kagame anasema zaidi ya nusu yake ameishi kama mkinbizi. Hivyo basi anipenda nchi yake na hataki...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    Kwanza kabisa uwe serious umeamua. Maana inatakiwa discipline ya hali ya juu. Ipo njia kabisa na wako wanene wametumia wakawa na kilo wanazotaka. Andika email yako hapa tuwasiliane
  12. U

    JamiiForums Tanzania NSSF yaelekea kufilisika

    Nimesoma mpaka nikaogopa. Hata mfuko wa bima ya afya unakopwa ni hatari sana. Hii nchi inaongoza na majambazi. Bora tufute hii mifuko kila mtu apwewe chake kama vibarua
  13. U

    JamiiForums Tanzania Udini watumika kuizamisha CHADEMA mikoa ya kusini

    kuem ujinga wa watanzania ndio mtaji wa kisiasa. Watanzania tuache kuendekeza ujinga hakuna mahali popote ubaguzi ulileta faida. Hivi huo misiktini wan sera gani ya maendeleo hata kwa hao waislamu wenyewe? Waingie kazini tena washughulikie waislamu tu tuone. Bure kabisa. Watz tuache tabia ya...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar

    kama walikwpa siku nyingi sasa ni finali. Kwa akili ya jk hili haliwezi kabisa. Jamani urais siyo masiala.k j uijivuta kama ulivyozoea muungano unakufa kama ccm inavyokufia mikononi. Leadership is about taking quick decisions on time. Jk ulitamani sana kuwa rais sasa umeona mwenyewe hii kazi...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Nchemba: CCM haiwategemei walimu

    Hata arumeru alikuwa anatukana. Lakini kama unavyojua arumeru siyo kama igunga waliwaonyesha. Hawa watoto hawana adabu hawajajua hata kunawa watakulaje meza kuu. Jk hivi jamani unashida gani? Kila unayemchagua feki
Back
Top Bottom