Nipo Mkoani Mtwara kikazi kwa wiki karibu mbili sasa.
Njia ya kuelekea Masasi mbele kidogo na ile round about yanapopaki magari ya zimamoto mbele kidogo ya njia panda ya airport kuna mhadhara unafanyika wiki ya pili sasa.
Mashekhe hao ambao wamepita katika kila eneo ambalo chadema wamepita na kufanya mihadhara wanapita na wao kueneza chuki na ghiliba za kidini kuwa asili ya chadema ni ukristo na malengo yake ni kustawisha ukristo
Wanakwenda mbali zaidi kwa kusema Adui wa muislam ni mkristo hivyo hakuna haja ya kukishabikia chadema.
Ingawa hawasemi chama gani kiko neutral wala hawasemi wafuasi wao wanatakiwa wafuate chama gani lakini wanawahamasisha wahakikishe kuwa kuna haki na usawa
Kampeni hii ambayo inafanyika katika mwavuli wa mikutano ya dini ambapo huanza kwanza kwa kuikosoa biblia kwa kutumia quran mwishowe humalizikia kwa kuiponda chadema kidini.
Nimefanikiwa kuhudhuria mkutano mmoja na nimesikiliza mwanzo hadi mwisho, kwa kweli wanafanikiwa kupata wafuasi na waamini wengi. Akili za vijana wengi ambao hapo awali tulidhani zimekombolewa kwa ujio wa cdm zimerud kule kule kwenye enzi za ujima na udini
MUNGU INUSURU TANZANIA NA DHORUBA INAYOWEZA KUTOKEA ANY TIME
kuemchadema kama wanakanusha hawatumikii kanisa. Wahoji matumizi ya mou yanayotolewa na serekali kwa kanisa.

chadema kama wanakanusha hawatumikii kanisa. WAHOJI MATUMIZI YA MOU yanayotolewa na serekali kwa kanisa.
Hebu tuone serikali itajibu nini mihadhara ya dini kuhubiri siasa!ngoja tuone cdm watajibu nini!
hii nimeipenda kamanda TukoKiongozi dhaifu hutumia mbinu dhaifu kuwahadaa watu dhaifu kwa kutetea udhaifu kwa hoja dhaifu...
kama yanayo fanyika ni kweli hao Waislamu ni watu wa kuzimu, huwezi ukawa unaichukia imani ya mwenzako bila sababu tena kwa chuki na jaziba, hao ni watu wa kuzimu, mbona leo hii duniani kuna Magaidi,Machangudoa,Majambazi na watu wenye kila aina ya uovu wanaishi na wanapumua kama hao Masheikh njaa? Hapa hua inatufundisha ya kwamba Mungu wetu ni mstahimilivu,mpore na hana ubaguzi. Sasa hao chuki na ukiristo halafu baadae wanaenda swala tano si upuuzi huo?
chadema kama wanakanusha hawatumikii kanisa. WAHOJI MATUMIZI YA MOU yanayotolewa na serekali kwa kanisa.
Duuh! wewe ni bonge la great thinker! salute mkuu!....yaani you made my day.Unapoulaani Uislam kwa sababu kuna kikundi cha waislam wanapinga CDM, inaonesha una mapungufu katika uwezo wako wa kufikiri, au umetumwa na Magamba ili uthibitishe kuwa CDM Ina chuki na Waislam. CDM inahitaji support ya dini zote kuu mbili hapa nchini ili kushika dola, kwa taarifa yako CDM ina Makamanda wengi Waislam walioko mstari wa mbele wanaipigania CDM iungwe mkono na Waislam wenzao wote, Wakati kuna Wakristo wa CCM wanashiriki kupanga mipango ya kuiangamiza CDM usiku na mchana, hata kule Arumeru kuna Maaskofu walitumia nguvu zao zote kuhakikisha CDM inashindwa, Je, kwa standard yako ya kufikiri una maana Ukristo au Wakristo wote Walaaniwe kwenda kuzimu kwa sababu wameipinga CDM? Nijuavyo, na ndivyo ilivyo, CDM ni chama cha Watanzania wote, bila kujali Rangi, Kabila wala dini ya mtu, watu kama nyie wenye kudhsrau dini za wenzenu, ni bora msiwe kwenye chama chochote cha kisiasa, mbakie makanisani na misikini, mnaharibu ulingo wa Siasa!
Mkuu, nakubaliana na hoja yako kwani kipindikile CDM wanaendesha M4C huko Mtwara na Lindi ulituletea habari bila chenga na ninaamini wewe kweli ni mkazi wa Mtwara. So hata wewe jitahidi kuwahamsha watu kuhusiana na propagandaHakuna haja ya kupanik kuhusu kinachoendelea hapa Mtwara. Muda mfupi tu uliopita nilikuwa nimekaa karibu na msikiti mmoja uliopo eneo la Kiyangu, ni takriban mita 300 toka baa ya Villa Park iliyopo hapa Mtwara. Nilichosikia kikiongelewa katika mawaidha ya swala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo hakitofautiani na hiki kilicho ongelewa na mtoa mada hii. Lakini kitu kikubwa nilichojifunza hapa ni kwamba CDM ilishavunja nguvu ya CUF wakati wa kampeni yake ya M4C iliyofanyika mikoa ya kusini. Kinachofanyika sasa hivi ni mchakato wa CUF kurejesha nguvu kwa kupitia mihadhara ya kiislamu na misikiti. Comment yangu kubwa katika hili ni kwamba tutulie wana CDM, tathmini niliyoifanya so far ni kwamba hapa Mtwara mjini jimbo ni letu. Tuongeze nguvu katika kutumia vyuo vilivyopo huku kusini ili kuhakikisha tunapata wapiga kura wa kutosha. Wafuasi wa CUF wengi wao ni waislamu ambao majority of them hana elimu ya kuweza kuchambua points za msingi zilizotolewa na makamanda, hivyo the best and altenative way ni ku-deal na watu waliokwenda shule, ambao kwa sasa idadi yao inaongezeka kwa kasi kubwa mkoani hapa.
Nipo Mkoani Mtwara kikazi kwa wiki karibu mbili sasa.
Njia ya kuelekea Masasi mbele kidogo na ile round about yanapopaki magari ya zimamoto mbele kidogo ya njia panda ya airport kuna mhadhara unafanyika wiki ya pili sasa.
Mashekhe hao ambao wamepita katika kila eneo ambalo chadema wamepita na kufanya mihadhara wanapita na wao kueneza chuki na ghiliba za kidini kuwa asili ya chadema ni ukristo na malengo yake ni kustawisha ukristo
Wanakwenda mbali zaidi kwa kusema Adui wa muislam ni mkristo hivyo hakuna haja ya kukishabikia chadema.
Ingawa hawasemi chama gani kiko neutral wala hawasemi wafuasi wao wanatakiwa wafuate chama gani lakini wanawahamasisha wahakikishe kuwa kuna haki na usawa
Kampeni hii ambayo inafanyika katika mwavuli wa mikutano ya dini ambapo huanza kwanza kwa kuikosoa biblia kwa kutumia quran mwishowe humalizikia kwa kuiponda chadema kidini.
Nimefanikiwa kuhudhuria mkutano mmoja na nimesikiliza mwanzo hadi mwisho, kwa kweli wanafanikiwa kupata wafuasi na waamini wengi. Akili za vijana wengi ambao hapo awali tulidhani zimekombolewa kwa ujio wa cdm zimerud kule kule kwenye enzi za ujima na udini
MUNGU INUSURU TANZANIA NA DHORUBA INAYOWEZA KUTOKEA ANY TIME
CHADEMA wawapeleke Makamu Mwenyeti Taifa, Mhe. Said Arfi, Mbunge wa Mpanda Kati, Naibu Katibu Mkuu, Mhe. Zitto Zubeir Kabwe, Mbunge wa Kigoma Kaskazini,labda pamoja na Mhe. Mhonga Saidi Mbunge wa Viti Maalum wakathibitishe uzushi wa hawa watu.
Mzee Mtei! Nakuheshimu sana! Lakini hebu naomba unijibu hili.Asilimia ya waislam ni ngapi katika uongozi wa CHADEMA, Kwanini Zitto Kabwe alizuiwa kugombea uenyekiti,nikwanini Zitto aliposema atagombea urais mlimnanga ikiwa ni pamoja nawewe mwenyewe?
Ni kwanini katika uchaguzi mkuu mlimweka mgombea mwenza mwislam darasa la saba,ni kwanini tume ya katiba walipoteuliwa wewe kama mwasisi wa CHADEMA ulisema tume hiyo imejaa waislam?
Je,ni kwanini Waislam wasiamini CHADEMA ni chama cha kanisa? Ni kwanini CHADEMA kinashirikiana bega kwa bega na chama cha Kikristo cha Christian Democratic Uniun? Je, wewe kama mwasisi unahoja gani ya kutushawishi Waislam kuwa CHADEMA sio Christian Democratic Movement?
Mheshimiwa, umemsoma vizuri uliyemjibu hapo? Mbona ameanza kwa kuandika 'kama.... ni kweli.... hao Waislamu.....' Hapo ameulaani uislamu au 'hao waislamu' wanaofanya hivyo tena akianza kwa tahadhari kuwa 'kama ni kweli?!' Kuna mahali hapo unahoji kuwa '...kwa standard yako ya kufikiri una maana Ukristo au wakristo WOTE walaaniwe kwenda kuzimu...!' Sasa ndugu ni wapi huyo uliyemjibu alipoandika kuwa Uislamu au waislamu WOTE walaaniwe kwenda kuzimu??? Kwa nini ni rahisi hivyo kugeuza maneno hiyo inatokana na nini??? Hivi huoni ajabu kuwa pamoja na mifano ya Maaskofu uliowataja wa Arumeru kuipinga cdm bado hata watu ktk jukwaa hili ambao wangetegemewa wawe na uelewa mkubwa lkn bado manaendeleza huo uongo sawa na unaoenezwa huko kusini?!Unapoulaani Uislam kwa sababu kuna kikundi cha waislam wanapinga CDM, inaonesha una mapungufu katika uwezo wako wa kufikiri, au umetumwa na Magamba ili uthibitishe kuwa CDM Ina chuki na Waislam. CDM inahitaji support ya dini zote kuu mbili hapa nchini ili kushika dola, kwa taarifa yako CDM ina Makamanda wengi Waislam walioko mstari wa mbele wanaipigania CDM iungwe mkono na Waislam wenzao wote, Wakati kuna Wakristo wa CCM wanashiriki kupanga mipango ya kuiangamiza CDM usiku na mchana, hata kule Arumeru kuna Maaskofu walitumia nguvu zao zote kuhakikisha CDM inashindwa, Je, kwa standard yako ya kufikiri una maana Ukristo au Wakristo wote Walaaniwe kwenda kuzimu kwa sababu wameipinga CDM? Nijuavyo, na ndivyo ilivyo, CDM ni chama cha Watanzania wote, bila kujali Rangi, Kabila wala dini ya mtu, watu kama nyie wenye kudhsrau dini za wenzenu, ni bora msiwe kwenye chama chochote cha kisiasa, mbakie makanisani na misikini, mnaharibu ulingo wa Siasa!