Hakuna majibu yaliyoridhisha hapa, endeleeni kuchangia!
Mchele mbichi si mzuri jamani hasa kwa wanawake kwani husababisha ute mzito ukeni.hivyo hufanya mwanamke asiwe na radha.
Mchele mbichi si mzuri jamani hasa kwa wanawake kwani husababisha ute mzito ukeni.hivyo hufanya mwanamke asiwe na radha.
ni kweli kabisa ata mimi nakuunga mkonoMchele mbichi si mzuri jamani hasa kwa wanawake kwani husababisha ute mzito ukeni.hivyo hufanya mwanamke asiwe na radha.
Kuna rafiki zangu wawili tofauti walifanyiwa upasuaji wa appendix wote hawakupona, walifariki. Pia jirani yetu alipatwa na hili tatizo naye akafariki kabla ya operation. Huu upasuaji kwa kweli ni Mungu tu ndo aamue kukunusuru1. jinsi ya kuacha ni kuamua kuacha kula.
2. madhara ni kwamba unapotafuna kuna uwezekano usitafune punje zote au hautatafuna wote so vile vipunje vinakuwa kama vimawe na vitajitunza kwenye appendix kama vimawe, kuna hatari appendix ikajaa na ukatakiwa ufanyiwe upasuaji.
punguza then acha, pika ule mpunga bana
Duh kumbe tabia ya kula mchele imekua kama uvutaji wa sigara , mtu akizoea haachi!!!?Binafsi nimeshafanyiwa hiyo operation ya appendix kama miaka mitano iliyopita ila sikuwa na tabia ya kula mchele.
cha ajabu kuanzia mwaka jana nimeanza hii tabia ya kupenda kutafuna mchele najitahidi kuacha naweza nikavumilia siku mbili tatu lakini nikipita karibu na ulipo mchele nikasikia ile harufu basi lazima nitauchokonoa nitafune na nninapotafuna najisikia raha. ila mpaka naogopo sasa ninachofanya najitahidi kununua karanga nakaanga naweka ndani, nakaanga bisi naweka ndani ili nikisikia ile hamu ya kutafuna mchele basi nichukue bisi au karanga au matunda nitafune ile nipotezee ile hamu ingawa wakati mwingine bado vinanishinda nitajikuta tu nimechukua mchele hata kido nikatafuna.
Nilimuuliza mtu mmoja akaniambia kuwa nini upungufu wa starch hivyo nijitahidi kula starch kwa wingi hasa ugali wa mhogo. aliniambia madhara ya mchele ni pamoja na kupata appendix au vile vichembechembe pia vinaweza kusababisha matatizo ya koo. nafikiri wataalamu akina Njiwa, Mzizi mkavu, Riwa na wengineo watatusaidia.
Utaua mtu ayseeeFanya hivi chukua :- mchele 6kg sukari 3kg roweka naa tumia mchanganyiko kuanzia alfajir 5:00, 10:00, 01:00, 04:00, 8:00, onyo usitumie maji, wa chakula kingine. Tumia dozi hii kwa siku 7. Ukimaliza dozi hutakaa uguse mchele tena
asee hapa lazima nimtandike bakora ,au laah nimpeleke milembe
dah huyu sasa ndo much addicted, aweke gunia la mchele tu huko ili asipate tabu ya kutembea nao kwenye pochiWadau hebu tusaidiane kwenye hili,kuna dada mmoja hapa napofanyia kazi anapenda sana kutafuna mchele ikafikia stage akawa anaweka kwenye pochi na anatafuna siku nzima, sasa dada mwingine naye kadakia anatafuna balaa, mwanzoni nilidhani wana ujauzito lakini nikagundua kuwa hawana ila wanatafuna mchele mpaka inaogopesha, sasa kwa anayejua hakuna madhara yoyote kutokana na hii tabia ili niwa-caution waachane nayo mapema kabla hawajdhurika?