Watamtambua nani sasa?walisusa wenzao wakala mpaka wakakomba mboga, vumilieni tu na kuomba uzima 2020 sio mbali, rekebisha palipokosewa na msonge mbele
Wanawake tunaumizwa sana ila tunafunguka, tunalia, tunaomba na kusamehe, hapo tunapunguza msongo wa mawazo na maumivu ya moyo, sasa wanaume hamtaki kulia eti mtaaibika, hamsameh wala hamfunguki mnapenda kufa na tai shingoni, kwa sababu hizi tutarajie wajane wengi, Ee Mwenyezi Mungu nisaidie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.