Tuhuma za Rushwa: Hussein Bashe naye aachia ngazi ujumbe wa Kamati ya Bunge

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,863
image.jpeg
 
Ni kwamba hizo rushwa wanazopokea wengine zinafanya ziara za kamati zisifanyike, kukosekana kwa evidence wanazozitaka ili kufanya kazi zao exactly where Bashe and Zitto are deprived to showcase their work ethics kwa rushwa wanazokula wengine? Kulalamika sawa lakini kujiuzulu kweli hii kama public stunt tu.

Lets face it in everyday parliamentary committee utakuta wawili watatu ndio wanaofanya scrutinization kwa maswali mengi wengine ni wasindikizaji, wapokea posho tu heck they might as well take that bribe; unataka kuniambia kale ka binti kadogo mtoto wa kigogo ndani ya CCM aliyewekwa kamati ya PAC anauwezo wa kukagua public accounts kweli.
 
AWAMU YA TANO;
MMEKOSA RUSHWA , HAMNA JIPYA.
PESA INATOKA KWA MAANDISHI..................
 
hoo najiuzulu kupisha uchunguz, hiv inawezekanaje mtu akajiuzuliu kirahis HIV? kwani akiwa ndani ya kamati uchunguz hauwez fanyika. ninachoweza sema hawa watu wanataka attention tu, cha zaid hakuna. vile vile hizo kamati yawezekana walikuwa hawazitaki l, hivyoo wanajitoa kisilensa.
 
tungetarajia nini wakati kwenye uteuzi wa ndani wa nafasi za ubunge za ccm kulikuwa na malalamiko mengi yaliyohusu wagombea kutoa rushwa halafu chama kikazidiwa kete kwa kukosa ushahidi? unatarajia aliyetoa rushwa ili awe mbunge akiupata atakuwaje? tangu lini shetani akageuka malaika?
 
Back
Top Bottom