Serikali wilayani Tandahimba yatoa siku 7 kwa viongozi wa ushirika kurejesha bilioni 1.43

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,563
21,665
Tandahimba.png
Serikali ya wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara imetoa siku saba kwa viongozi 49 wa vyama vya ushirika katika wilaya hiyo kulipa deni la wakulima wa zao la korosho la shilingi Bilioni 1 .43.

Fedha hizo ni za malipo ya awamu ya tatu katika msimu huu wa mwaka 2015-2016.

Wakikiuka agizo hilo sheria itachukua mkondo wake.
 
Back
Top Bottom