Recent content by under the same sun

  1. U

    JamiiForums Tanzania nahitaji d link swtch 24ports , gigabit with poe

    kwa mujibu wa kichwa cha HABARI hapo juu wakuu, mwenye iyo kitu, mpya tuwasiliane pls, 0755 656609, au 0782 999791 nipo dar-es-salam
  2. U

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi Kijenge

    Kijenge mwanama arusha? Au
  3. U

    JamiiForums Tanzania Ben Mtobwa "tutarudi na Roho zetu" afariki dunia

    Mwenye link atupe basi japo hadithi moja, tupitie! Rest in peace ben mtobwa!
  4. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna ulazima wa mke wako kujua misele yako yote kwa 100%?

    Kwa hiyo madame x unamaanisha huwezi kuishi kabisa na kaka jambazi?
  5. U

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Nay wa mitego Mr Nay Mh

    huyu jamaa ni shida!
  6. U

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kufuta PM za JamiiForums kwenye simu ?

    Msaada nami pia natumia blackberry 8520 ntazifutaje?
  7. U

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufanya maamuzi magumu katika maisha?

    Maamuzi magumu ndo kama yapi mkuu embu dadavua kidogo!
  8. U

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kufuta PM za JamiiForums kwenye simu ?

    Jamani pm zimejaa na nmna ya kufuta sijui embu nisaidieni wakuu!
  9. U

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu biashara ya phones, phone accessories na vifaa vya umeme

    Mkuu kuusu mtaji sijajua ila ni biashara inayolipa sana hususani eneo linalokuwa kimaendeleo karibu pm nikupe ushauri
  10. U

    JamiiForums Tanzania Nakopesha bila riba

    Bora ungefunguka wazi taratibu zipoje mkuu,maana hata namba yenyewe haipatikani
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mamwimyi ni watu wa aina gani?

    Wakuu ukitoka bunju b kwenda bagamoyo hili neno (mamwinyi) si geni. nataka kujua hawa watu wapoje, na nini maana yake?
  12. U

    JamiiForums Tanzania Maadili: ITV kama kawa, Lulu Full uchi

    haya sasa dogo kachukua mpunga, mpunga umeenda mtwara,,,,,,,,
  13. U

    JamiiForums Tanzania Maadili: ITV kama kawa, Lulu Full uchi

    Hivi we unahisi nani anachukua mpunga? Halafu niwe muwazi binafsi hili lijaji la kiume mkono wa kushoto SILIPENDI!
  14. U

    JamiiForums Tanzania Maadili: ITV kama kawa, Lulu Full uchi

    Hivi we unahisi nani anachukua mpunga?
  15. U

    JamiiForums Tanzania Maadili: ITV kama kawa, Lulu Full uchi

    50 cent sauti ipo powa ila bonyeza audio alafu select left or rite! alafu aibu iliyoje kuna camera imedisplay betri low
Back
Top Bottom