Shule ya msingi Kijenge

Shule ya msingi Kijenge

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,797
Reaction score
14,358
Salaam natafuta watu waliosoma shule ya msingi kijenge miaka ya 60,70 na 80.
Haraka.
 
Kijenge mwanama arusha? Au

Nyuma ya Motel Impala,wakati huo Impala,ilikuwa bado haijajengwa,ulikuwa ukisimama kwenye uwanja wa shule unaona mount meru hotel na hotel 77,wakati huo mto ulio mkabala na shule ulikuwa ukitiririsha maji safi yanayofaa kunywa,na kwa upande wapili wa mto (kwa Said Nanga )yalikuwa ni mashamba ya kahawa.
 
Back
Top Bottom