Recent content by undefine

  1. undefine

    Raia wa Pakistan akamatwa kwa kuingia nchini kinyemela kwa kisingizio kuwa Tanzania hakuna Corona

    Mpakistani tena Katokea border ya uganda Ngada 100% nina uhakika na kaachwa kwenye mataa na wenyeji
  2. undefine

    Mzee Shomari: Wakazi wa Dar bila kujali itikadi zetu twendeni tukasherekee mafanikio ya CCM kesho

    Mzee akili zako zinafanana na hio baiskeli ya mwaka 1987
  3. undefine

    Tajirika na Kilimo cha Nyoka: Tuwapende na kuwatumia Nyoka badala ya kuwaua

    Unafuata process unapatiwa kibali. Snake farms zipo nyingi mkuu mbona
  4. undefine

    Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer

    Mkuu sio masihara nilimtembelea mzee wangu kazini kwake akaniambia december huu mwezi ndio anafungay ofisi yake mpaka nikamuonea huruma na kumpa mawazo mbadala. Kuna maduka nimeyatembelea dah watu wanafunga na wafanyabiashara haswa wa kati na wa kawaida wapo kwenye wakati mgumu sana kila...
  5. undefine

    Mara mgeni kaingia kwako usiku na TANESCO wamechukua umeme wao!!

    Uelewa mdogo sana na ukiukwaji wa haki za wanyama..99% huyo alikuwa home snake "green&black snake.. Kuua/nguvu ni udhaifu
  6. undefine

    Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

    Wewe jamaa una matatizo sana kama hata ya nyegere kumla koboko unabisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] wallahi sirudii tena kusumbuka kuelewesha na kuandika Halafu wajitia mjuaji wakati maisha ya nyoka na koboko huyajui [emoji23] [emoji23] upo empty Kwa kukusaidia tu achana na nyegere...
  7. undefine

    Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

    Halafu kuna mtu anashinda mitandaoni haja experience anaanza kubisha na kuleta porojo Na hizi porojo za koboko zimejaa sana mitandaoni ,hakuna aliyewahi kukimbizwa na koboko bora ulivyosaidia kumuelewesha jamaa
  8. undefine

    Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

    Nani wa Wikipedia kamleta kama sio huyo nwenzako mnaosapotiana kaleta source ya Wikipedia ndio nimemdadavulia . Huwezi kunipa facts wakati tumeishi nao na kuwakamata ,.. Facts mnazotoa ni porojo tu hakuna fact yeyote niliyoona tangu jana
  9. undefine

    Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

    [emoji115] [emoji115] ngoloko wikiedia yako ina support comment yangu
  10. undefine

    Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

    [emoji115] [emoji115] Wikipedia yako ina support comment yangu
  11. undefine

    Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

    Umenipa source ya wikiedia nimepitia maelezo humu na machache umeotodhesha hapo juu. Wikipedia kwenye tishio mamba anafungua mdomo wake na kutoa sauti na mamba ana uwezo wa kugonga kwa idadi kubwa kwa mafanikio..sumu yake ina neurotoxins nk nk...licha ya tabia yake ya kuwa aggressivr ,mamba...
  12. undefine

    Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

    Mkuu koboko hana sifa mnazompa hana Tena koboko hapendi usumbufu ,bughudha Koboko mbaya ni yule hujamuona ukapita karibu naye zero distance zaidi ya hapo koboko hana madhara
  13. undefine

    Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

    Huyo nyoka akimuona mtu anaanza kumkimbiza bado hajatokea duniani na bado hajazaliwa Hakuna nyoka mwenye stamala ya kumfuata mtu na kumkimbiza shujaa huyo nyoka bado hajatokea Mamba akikuona unamfuata anasepa kabla hujamkaribia Spitting cobra akikuona unamfuata anasimamisha shingo lake na...
  14. undefine

    Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

    1.Hakuna nyoka anayeweza kum-confront mtu ,nyoka woote wanawaogopa watu kuliko watu wanavyowaogopa nyoka 2.Hakuna nyoka anayekimbiza watu huyo nyoka hayupo duniani ,Mamba ni muoga ukimfuata alipo unamuona anaondoka zake hata ukimkaribia utaona anatafuta njia ya kusepa ukimziba kulia atafungua...
Back
Top Bottom