Mara mgeni kaingia kwako usiku na TANESCO wamechukua umeme wao!!

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
IMG-20180418-WA0002.jpg
 
Hao ibilisi huwaga hawawezi kutembea kwenye utelezi au ulaini kama vile cement, tiles, ukuta laini, nk.

so, ni nadra kuwakuta kwenye mazingira hayo, and in the unlikely situation ukimkuta huko basi utammaliza kiulani kama kuua chawa!
 
Anaruka ruka kwenye utelezi au lami ya moto
 
Mwenye kuona nyoka naomba asiue tafadhali nanunua ukimpata nijulishe tafadhali.

Thanks.
 
Back
Top Bottom