Recent content by umumbati

  1. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwanasheria nguli David Kafulila kugombea ubunge Kigoma mjini 2020

    Aje tutamupa kura kama atapitia CCM
  2. U

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi inamshikilia Fatma Chikawe kwa kumdhalilisha Mzee Lowassa kuwa ni baba yake mzazi

    Mi nahisi yule Dada kalambishwa mpunga ili akanushe maelezo yake ya awali,ila lazima ni mtoto wake tu,asingetoka hadharani kwenda kudai kutambuliwa na baba yake na mama yake kathibitisha kuwa kweli ni mtoto wake halafu akanushe,nahisi upande wa mlalamikiwa umemlambisha mpunga akanushe tu
  3. U

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Kati ya wanawake 480 waliofika ofisini kwangu, 47 wamewataja wabunge na 14 wamewataja viongozi wa dini

    Na lengo ndo hilo ukitajwa na wewe unaitwa kwenda kueleza kama ni kweli ulitelekeza mtoto especially wachungaji na maaskofu tujue ni wasafi kiasi gani?Makonda endelea kosa ni kosa tu bila kujali limetendwa na nani
  4. U

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Kati ya wanawake 480 waliofika ofisini kwangu, 47 wamewataja wabunge na 14 wamewataja viongozi wa dini

    Waziri anadeal na nchi nzima yeye Makonda anashughulikia matatizo ndani ya mkoa wake tu,hivyo hajakosea kisheria
  5. U

    JamiiForums Tanzania Askofu Dk. Shoo, amesema anatamani kuona Wakristo na Watanzania wote wanavaa ujasiri na kuwa na sauti ya kuonya

    Huyo askofu hajui kama waraka ulishachuja?kwa hiyo hayo mahubiri ya leo ameyatoa kitabu gani?kila siku no hayohayo tu watu wamechoka
  6. U

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo amewapiga "KO" maofisa Uhamiaji

    Kwani yeye aliagizwa apeleke historia ya TANU au vyeti ?
  7. U

    JamiiForums Tanzania Ndege zina faida gani kwa Mtanzania?

    Mtasema mengi mwaka huu,mbona mlikuwa mnasema eti haitakuja?saa hizi ndo mnajisemesha eti haina faida,ndo ilishafika sasa
  8. U

    JamiiForums Tanzania Ndege zina faida gani kwa Mtanzania?

    Na kabla ya jpm ilikuwa inamiliki shirika gani?
  9. U

    JamiiForums Tanzania Ndege zina faida gani kwa Mtanzania?

    Mbona Precision air yenyewe haifi,ATCL tu ndo umeona itakufa,we kapande ngorogojo a.k.a baiskeli ya miti
  10. U

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea kama brother K anajua kuimba hivi

    Ni kweli ila kazaliwa kigoma na wazazi wake wote wapo kigoma ,baba yake alishastafu kazi anaishi kigoma ameshika dini sana ,moyo mt wa yesu ,
  11. U

    JamiiForums Tanzania Albamu bora ya Kanisa Katoliki

    Hahahahahaha
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Moravian lamuunga mkono Rais Magufuli, lapuuza matamko na kuyaita ni malalamiko

    Ya kwenda shambani na jembe begani, hahahahaha,tumegundua maandamano hayaleti ugali mezani,asante baba Askofu
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kanisa na Vatican wamchunguze Kadinali Pengo, Maaskofu wote wanufaika wa Tegeta Escrow ni wasaidizi wake

    Umechanganyikiwa na nini? Pengo alishasema waraka huo hautambui nasi tumekubali kuwa haifai sasa mtulie tu hamtabadilisha chochote tena
  14. U

    JamiiForums Tanzania Mhubiri akamatwa na Polisi kwa kumkosea heshima marehemu baada ya kushindwa kumfufua

    Atakuwa na akili kama za maaskofu wa kkkkm
  15. U

    JamiiForums Tanzania Hoja ya kutokula nyama siku ya ijumaa kuu inatoka wapi?

    Kkkt ni kabisa gani nalo hilo? Kwa hiyo kenya linaitwa kkkk,Burundi kkkb,Rwanda kkkr,Malawi kkkm,hahahaha
Back
Top Bottom