Sikutegemea kama brother K anajua kuimba hivi

Brother K alisababisha ninunue Dish kubwa la enzi zile ili niwe namwangalia Futuhiiiiii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapa Kazi Tu!
 
Angepata washauri wa zuri angetoa kitu kikali zaidi na cha kufurahisha. Kama angetumia brand yake ya vichekesho vyake atoe wimbo ambao ni full comedy ingebamba zaidi maana hapo katoa wimbo wa kawaida ambao inabidi ili utoke apambane na watu ambao walishaatoka na wako mbali. Angetumia stail ya commedy mwanzo mwisho uneambaa haraka zaidi
 
we hujaona huo mchupi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ni kitu kidogo sana na ni hilo vazi tuu commedy ni zaidi ya mavazi nasema alikuwa ana nafasi ya kufanya vivuri zaidi na wimbo wake uka hit mapema kama angepata washauri ambao wangemuambia yeye ni nani na yukoje maana si rahisi msanii kujijua jamii inamwonaje na inapenda nini kutoka kwake
 
Huyu jamaa ana kipaji na sauti ya uimbaji.
 
Back
Top Bottom