Recent content by Umuhirindahu

  1. U

    JamiiForums Tanzania Mliofiwa na wazazi (mama), mliwezaje kuvuka kipindi hiki?

    Nilimpoteza mama nikiwa na umri wa miaka 22, wakati anafariki alikuwa na miaka 41,Mimi ni mtoto wa kwanza kuzaliwa, na yeye ndiye alikuwa nguzo yangu ;kwa hakika nilipitia magumu mengi sana Ila Mungu kanivusha salama;Muombe Mungu na atakuvusha salama
  2. U

    JamiiForums Tanzania Zitto awasilisha hoja binafsi juu ya walioficha fedha Uswiss

    Aqq was qQ1Q11q1¹£was 1q away qqQqqq1
  3. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

    you are very right !!!
  4. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana: Epuka UKIMWI ili usidharaulike

    nimekuelewa vizuri mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. U

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wadau kuna gari aina ya Nissan xtrail inatatizo la kushindwa ku-start asubuhi au wakati wa baridi, mafundi wamejitahidi ila tatizo halijaisha, temperature sensor na starter vimebadilishwa bila ya mafanikio.... msaada tafadhali
  6. U

    JamiiForums Tanzania Usijenge kiholela, tambua mambo muhimu kuhusu kibali cha Ujenzi

    Asante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kupatwa kwa Mwezi Jumatatu Agosti 7 - Partial Lunar Eclipse Monday August 07

    Asante Sent using Jamii Forums mobile app
  8. U

    JamiiForums Tanzania Zijue Alama za barabarani pamoja na matumizi yake

    Somo zuri Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
  9. U

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu mlima mrefu ktk mkoa wa Mara unaitwaje?

    Ule unaitwa mlima Tarime na siyo mlima Chambili
  10. U

    JamiiForums Tanzania Jinsi Kampuni za Simu zinavyowaibia wateja wao!

    nitarudi baadae kuchangia
Back
Top Bottom