Nahitaji civil engineering technician (highway engineering)kwa muda wa mwezi 2 haraka sana.mshahara na mambo mengine tutazungumza,ila awe tayari kukaa site kwa muda wote wa project,awe na leseni ya udereva,umri wowote ila asiwe mzee saaana,uzoefu unahitajika ,asiwe mlevi kupindukia(maana...