Recent content by umrimba

  1. umrimba

    Zitto Kabwe: Uhuru Wangu wa Maoni Ulilenga Kulinda Uhuru, Haki, Hadhi na Madaraka ya Bunge

    Ivi hamna sheria inayoruhusu wabunge kupiga kura ya kutokua na imani na spika
  2. umrimba

    Usiyoyajua kuhusu michuano ya klabu bingwa ulaya (Uefa Champions League)

    Iyo no 5 mi ndy sijaelewa au najichanganya,,nijuavyo mimi Barcelona ina uefa 4 + 11 Madrid au cvyo
  3. umrimba

    Askari hawapaswi kutishia watu lakini swali maarufu la "Unajua mimi nani?'' huwa linanikera sana

    Tatizo watu tunaangalia matokeo bila kutaka kujua chanzo,,iv kujulikana ww nani ni chanzo cha kuvunja sheria? Mm nadhan malima angeuliza kosa langu nn c-o unanijua m nani m nikujue ili iweje,,,maswali mengine ata ukimuuliza mkeo kabla ya kukujibu lazma awe na wasiwasi na akili yko..
  4. umrimba

    Neno La Leo: Adam Malima Na ' Trigger Happy Police'

    Yote yale ni matokeo ya dharau kwa askari iv kulikua na ugumu gn kufuata maelekezo aliyopewa au bd ana ubabe wa form two kwa form one,,cjawai ona jwtz wanamwambia mtu utakiwi kua eneo hili alaf mtu huyo akagoma kutii agizo coz anajua atakachokipata...askari wetu wanazaraulika sana ilibd malima...
  5. umrimba

    Bongo Hip-hop finest lyrics.

    Mkono ukiumia mdomo uja kuupoza,, Mdomo ukiumia mkono uja kuupanguxa tu... Ngosha
  6. umrimba

    Kwanini wasanii wa Mwanza mnapenda sana kuigiza kisukuma kwenye nyimbo zenu

    Mkataa kwao ni mtumwa na ili ufahamike utokeapo lazma utupie kitu kitakachokutambulixha na ndivyo afanyavyo mtu km linex na wengine wengi
  7. umrimba

    Top five fake rappers (MC's)

    Elezea kwanza nn maana ya fake rapper alaf utoe na mifano toka kwa wanamziki wa nje alafu ndy uje ututajie fake rapper c-o ukurupuke tu five fake rapper inaonyexha unaongonzwa na uxhabiki,,,,japo m c mshabiki wa Kati ya ulio wataja ila inaonyexha ujui historia ya mziki wa hip hop bongo
  8. umrimba

    Hivi wanawake wa Dar huwa mnatuchukuliaje wanaume wa mikoani?

    Asilimia kubwa waishio Dar c wazawa wa Dar xaxa cjui mnatupiana madgo ya nn,,ebu chukuwa mastar 100 alaf 2angalie wangap ni wazawa wa Dar,watu wapo Dar kiutafutaji zaidi ndy 7bu mwenzi wa 12 wanaukimbia mji na Kurd makwao..
  9. umrimba

    Mpira wa TZ bado saana

    Mpira ni mwepesi ukiwa nje ya uwanja ingia Kati uone shuguli yke na hakuna kz nyepesi km kukosoa ata mtt mdgo anaweza kosoa....
  10. umrimba

    Nyimbo zipi za Bongo fleva zisizochuja kwako?

    1.maji ya shingo-Daz nundaz. 2.mkuki moyoni-afande sele 3.fid q.com-fid q 4.mtazamo-afande sele 5.high na low-n2n 6.uaminifu-Matonya 7.msafiri-kwanza unit 8.salaam babu na bibi-pro j
  11. umrimba

    Young killer-Sinaga Swaga

    Kauli ya kujipanga ck zote ni dalili ya kushindwa
  12. umrimba

    ..Bingwa wa English Premium League mwaka huu ni.....

    Nilichogundua hapa tatizo limekuja arsenal kupangwa ya 6 c-o?bc arsenal ya 4 km kawaida yake na Tottenham ya 6....
  13. umrimba

    Zitto: Malipo ni hapa hapa duniani, Viongozi wastaafu wapo wapi wamuonye rais Magufuli?

    Hakika huyu mzee anaogopwa iv ingekua enzi za jk c mngeishaandamana kila sehem
  14. umrimba

    Kuna usalama hapa?

    Hakuna kilungu hapo mtu mwenyewe kashalegea
Back
Top Bottom