Pugu sekondari hapo nilienda kwa mtaaluma akaleta tamaa oohhh unadaiwa sijui 80k ......nikaachana nae nikapanda kwa second master ambako ndiko vyeti vinatoka kule nikatoa 15k shughuli picha likaishia hapo nakipewa chet changu easy nashuka chini nakutana na yule madam wa taaluma ananitolea mimacho.
Huyu kijana kafeli sana vyovyote vile shukrani kwa mtu aliyekutoa juu ya mawe ni lazima na ndio ustaarabu.
Aisee mie shida yangu nadaiwa direct cost Tsh 243,750 nipo udom hapa semister inaenda kukata sielewi na sijakamilisha usajili noma....
Control number 994461469086
Nina miaka 27 robo tatu ya umri wangu nimelala gheto na masela yahn sijawah kuwaza huo useng.e wala wadau wangu kuwaza huo useng.e wako....wewe ni shoga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.