Imekuaje “Mulokozi” akajenga hekalu lake Manyara?

Imekuaje “Mulokozi” akajenga hekalu lake Manyara?

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2019
Posts
1,949
Reaction score
4,426
IMG_0937.jpg
 
Oya maendeleo ni japo la kheri...Kila mtu ashinde mechi zake...Hawa wanaojenga angalau wana akili ,nyumba ukikaa unajipa moyo mzuri ila kijana Chin ya miaka 35 akijenga hii ni magoli zaidi...

Bado kijana unashusha jumba la maana kama hili ,nguvu bado zipo...

Ninavyomjua sadalla atajenga sasa hivi maana hana mpango ila hakuna trend itampita.
 
Ameangalia ukubwa wa eneo; nyumba ata ikiwa ndogo, ila ikiwa kwenye eneo kubwa kuna raha yake.
Ni tofauti kuwa na jumba zuri kwa kiwanja cha 20 x 20.
Jenga makazi ndani ya eneo la ekari 10 n.k​
Wabongo wengi hawajui hili... Hata ukiangalia nyumba za watu wakubwa duniani wanajenga eneo kubwa huko porini
 
Makao makuu ya biashara zake za pombe, analima kateshi. Ni sawa tu yeye kujenga hekalu huko.

Hope kesi yake na akina "Zakayo" walimalizana, ni kama walimkamia wamfilisi juu ya mambo ya stickers. Kipindi kile ilibidi apotee. Bi mdogo (jembe lake) alisimamia show yote mambo yakatulia.
Aisee. Kumbe binti kiziwi ni mtoto wa mjini na ''codes'' unazijui kama ulisomea Phd yake? Mimi nilidhani unaishi Namapwia, hukooo Lindi vijijini, na hata kuvuka barabara unashikwa mkono!
 
Back
Top Bottom