Recent content by UmbellaAp

  1. U

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Inasemekana Fisi Ameuawa Ubungo Kituo cha Mabasi

    Wataalamu wa mambo ya mifugo!!
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kufuatia sakata la Diamond kumkubali mtoto wake, Faiza Ally amchana Mh.Sugu "ex husband wake"

    Kila mtu anasema lake. Ukweli upo wapi sasa?
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Penye utata chunga ulimi wako, ulimi uliponza kichwa

    Kubaa!!! Kuna kampango kapo chini ya kapeti.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mambo bado mazito majadiliano ya makinikia,Barrick yaongeza wajumbe kukabiliana na hoja za upande wa Tanzania

    Tanzania ina watu wasiojulikana kama kawaida hadi kwenye hii ishu!!! Wao waongeze tuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. U

    JamiiForums Tanzania Mzungu wa Harmonize amtolea povu Wolper

    Mbona kama mmasai wa Loliondo? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. U

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nyuki wamevamia nyumbani kwangu

    Wasiliana na RPC wa Mkoa wako kwamba wale watu wasiojulikana umewakuta nyumbani kwako. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. U

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazosababisha uoe/kuolewa na mtu asiye chaguo lako

    Kiboko ya walioenda kujitambulisha ukweni na wanaojiandaa kwa ndoa. Chukueni hatua mapema. Hakuna Malaika ambae atakuletea ujumbe huu leo zaidi ya huyu Mleta uzi. Mungu hutumia binadamu wenzako kukupa ujumbe. Kazi kwako!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. U

    JamiiForums Tanzania Haya ndio yatakoyotokea mpenzi wako (KE) akienda chuo

    Tumepewa nafasi moja tuu ya kuishi hapa duniani. Acha wajishughulishe na mambo mengi ya duniani kabla nafasi haijafikia deadline. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. U

    JamiiForums Tanzania Haya ndio yatakoyotokea mpenzi wako (KE) akienda chuo

    Hiyo ndio huitwa bata bandani. Ponda mali kufa kwaja. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. U

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwamba Rangi ya Tai huzungumza, Usivae tuu ili mradi umevaa tai

    Logic!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. U

    JamiiForums Tanzania Hivi kuoa nikiwa na miaka 23 ni sahihi wakubwa

    Umepewa ushauri mzuri sana. Tatizo lako lipo kwenye sababu za kuoa. Si kila mwanamke anaejua kupika na kufua ni mwanamke bora na atafaa kuishi na wewe. Umri wako ni genetically reproductive hauna shida. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. U

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

    Big Amen!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. U

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye sifa na matendo haya hutufanya tukose hamu ya tendo la ndoa

    Ukweli upo na utendewe haki!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  14. U

    JamiiForums Tanzania Mpango wa serikali ni kupunguza unyonge au kuongeza unyonge kwa wananchi...

    Mambo ni tete kwa kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  15. U

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu uchaguzi UVCCM

    Hatari sana eti Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom