Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,605
"Kuna kuzaa mtoto na kuzaa mtoto mzungu"
By harmonize
blame no body
By harmonize
blame no body
Account fake hiyo double rr kwenye sarah
Basi ya fake ya Harmonizehiyo si page ya sarah...yake haina double r.
Kwani kakwambia anakuihitaji usikiliz wimbo wake ?? Jama keshatusuwa wew kakeshe huko kona barMwambie Harmonize anatumia nguvu nyingi kutulazimisha kusikiliza wimbo wake.
Atakuwa ni mzungu aliyechelewa ndege huyuMzungu gani ana maneno kama ya MANGE KIMAMBI?Nina mashaka na uzungu wa huyu mzungu.
Hahaa eti ana maneno kama mange hahaaMzungu gani ana maneno kama ya MANGE KIMAMBI?Nina mashaka na uzungu wa huyu mzungu.