Recent content by Ukuta mkuu

  1. U

    Nimejisikia uchungu mkubwa, sababu nafahamu historia ya Mradi wa Hospitali ya Mama na Mtoto Arusha

    Wewe ndio mwenye porojo,mbona toka mwanzo serikali hsikushiriki? Tumia akili yako kujiongoza na kutafakari
  2. U

    Nini kinaendelea mradi wa mji mpya wa Kigamboni?

    Pesa hakuna na wajanja walishafanya yao
  3. U

    Kwa hili la watafiti kuchomwa moto, Lingeweza kuzuiliwa

    Imani za kale,any way tukio tayari ila wakati mwingine taarifa ni mhimu kwa sehemu husika
  4. U

    Leo ndio nimewaelewa vizuri hawa masharobaro!

    Mle mle yaani mwanaume unatembea unalamba mdomo huku umeupa rangi hahahaha za kichwa[emoji15] [emoji23] [emoji5]
  5. U

    Ushauri juu ya mtu kuachwa na mpenzi wake

    Mtu anaomba ushauri wewe una mtolea maneno ya kuendelea kuumiza duh!!!! Hebu
  6. U

    Mbowe kamkosea heshima Lipumba

    Waliomaliza darasa LA saba ndio wametufikasha hapa tulipo sasa ni pamoja na maprofesa UCHWARA,WACHUMIA TUMBO
  7. U

    Mke wa kaka ananitaka kimapenzi

    Ukikuw utaacha,fanya wewe ndio mkeo anamegwa kakako? Laana na mikosi huwa tunazileta wenyewe kwenye familia zetu.
  8. U

    Maalim Seif ajiunge na CHADEMA, hana cha kupoteza

    UMETUMWA KWA HERUFI KUBWA MWAMBIE PROF UCHWALA AKACHUKUE TENA MSHIKO KULE MTAA WA PILI ACHA WANAOTAKA UKOMBOZI WAUTAFUTE
  9. U

    Anayejua sababu za UKAWA kutoshinda uchaguzi wa 2015 aziweke hapa.

    Hili sio kiivile maana mi ni kati ya mawakala wa ukawa nilikuwa kijijini sana elimu iliwafikia mpaka sasa sijui nini kilitokea
  10. U

    Natamani kujua waliompa kura Rais Magufuli wanajisikiaje sasa

    Hahaha ujue wewe mjamaa mchokozi sana mi natamani kujua jamaa wa mazingira anajikiaje kukosa ukiranja mkuu
  11. U

    Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

    Nimepata elimu na nimejifunza kitu hapa japo tayari naamini yesu si mungu inangawa anafanya matendo makuu kupitia jina la mungu baba maana tayari anayo mamlaka ya kimungu BARIKIWA SANA
  12. U

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa RAS Kagera na DED Manispaa ya Bukoba

    Dah hv naiza tu viwanda mpango wake upoje?
Back
Top Bottom