Poleni kwa majukumu wakuu.
Kakangu ni mtu wa kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya biashara zake.na ninakoishi mimi na kakangu ni kama mita 80.na sababu ya mimi kwenda kuishi pembeni kidogo na kakangu ni baada ya kumtambua tabia ya shemeji yangu kunitaka kimapenzi,sasa amekua na tabia yake ya kuniita kwake baada tu ya yeye kusikia nimesharudi kutoka kwenye mihangaiko yangu,sasa ninapofika kwake anaanza mitego yake,( nadhani mnajua mitego ya hawa wanawake).
Hii ndo kali kali zaidi,jana kakangu kanipigia simu,ananiomba niende nyumbani maana amepigiwa simu na wife wake kuwa mtoto anaumwa niende na kama atakuwa na hali mbaya nimkibize hospital,na ilikuwa mida ya saa tano usiku,kufika home kwa bro nikamkuta shemeji yangu yuko mezani anakunywa wine,na anajua napenda sana wine,(na mtoto alikuwa cyo mgonjwa ni ujanja wa shem tu),kumbe mle kwenye wine aliweka dawa (vayagra) ndani ya dakika kumi hivi mshipa ulikuwa na hali mbaya zaidi.kilichotokea siri ya shemeji yangu. Hiki kitendo kinaniuma sana alafu namueshimu sana bro.naona tu nimwambie bro.ushauri