Recent content by Ukolo

  1. U

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Fani za afya kwa level ya diploma

    Acha watalaam waje kukujib
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Fani za afya kwa level ya diploma

    Mm namshauri asome diploma ya nurse and midwife ni marketable sana tofauti na clinical medicine,kwa matokeo hayo mbona atatoboa tu,maana tabibu kukaa reginal or district hospitals ni mbinde sana ,AMO na MO na specialist wamekaba nafasi take ,ila manes kila sehemu wamejaa, //// tabibu 2 manes...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Fani za afya kwa level ya diploma

    Yaani ukiwa na chem.D, Bios D ,Eng.D ,maths D unapiga kitabu bila shida
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    TGHS B= 680000
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana kazi kada ya Afya

    Ruvuma wilaya gani mkuu
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya afya pekee

    Yupo jamaa yangu nitafute yy yupo tayari
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya afya pekee

    Nipo tayari naomba naomba yako mkuu
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya afya pekee

    Njoo singida mkalama nije sumbawanga ,katavi au tabora h/mashauri yoyote
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya afya pekee

    Njoo singida mkalama nije katavi wilaya yoyote MA 0621245357 kumbuka kujitambulisha vizuri to make cheap communication
  10. U

    JamiiForums Tanzania Fursa ya biashara Uvinza-Kigoma; watumiaji wa vilevi hawana sehemu thabiti ya kukidhi haja zao kutokana na uchache wa bar

    Hizo ni thiolojia za wadamu tu uwe askofu ,padri, kadinar,Pope, au nani kama ni mlevi sehemu yao ni JEHANNNAM ya moto waspo tubia dhambi hii na kuokoka ,kama kunywa kidogo in kweli basi hata matusi,uzinz,uasharati ,etc Tufanye kidogo? Ujue basi hakuna cha dhambi kidogo utakatifu sana ,acha...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Naomba kujua mshahara wa afisa ustawi was jamii diploma level na changamoto pia hata fursa zilizopo kwenye kada hii kwa sasa ni medical attendant kwa mwenye uelewa naomba msaada wa mawazo maana nataka kuhamia huko
  12. U

    JamiiForums Tanzania Upandishwaji madaraja kwa watumishi wa umma

    Watumishi kwl tumekandamizwa sana,stahiki zetu hatupewi ujue kama was degree anatake home 200k basi ujue hali mbaya zaidi kwa certificate na diploma kwl serikali jaman tusikieni au mnataka tuandamane kama Kenya ndio mtusikie? Haya nimatumizi mabaya ya rasmali watu!!
  13. U

    JamiiForums Tanzania Uwazi wa Mikataba katika Sekta ya Uziduaji (Mafuta, Gesi na Madini)

    Wapo wapiga madili wanalindana hdkuna cha mtumbua mafisadu
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kada ya Afya: Wenye uhitaji wa Kubadilishana Vituo vya Kazi

    Njoo singida nije tabora,au katavi h/mashauri yoyote Medica attendant
Back
Top Bottom