Recent content by Ufwandunkanye

  1. Ufwandunkanye

    Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

    GodstarTZ, Nasubiri muendelezo hapa mkuu. Makini sana [emoji122][emoji119] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Ufwandunkanye

    Msaada: Mwanangu wa miezi mitano na wiki tatu anaharisha

    Asate sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Ufwandunkanye

    Msaada: Mwanangu wa miezi mitano na wiki tatu anaharisha

    Leo ni siku ya tatu, tangu mwanangu aanze kuharisha. Sijajua sababu ni nini. Kabla sijampeleka hospitali, naombeni msaada wenu wa mawazo. Kwa maana umbali hadi hospitali ni maiili nyingi mno, na nipo shamba. Je, hii ni hali ya kawaida kwamba ni mabadiliko ya ukuaji au ugonjwa? Sent using...
  4. Ufwandunkanye

    Sanamu ya baba wa Taifa iliyo taaban ya azimio la busara la Tabora (uamuzi wa busara)1958

    Samahani mkuu, sasa hapa hawa wawili uliowataja, walikuwa wapinzani kivipi? Kamba walikuwa wanapinga hizo kura tatu, au walikuwa wanaziunga mkono? [emoji116] "Wapinzani wakuu wa Kura Tatu walikuwa Sheikh Suleiman Takadiri Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU na Zuberi Mtemvu"
  5. Ufwandunkanye

    Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

    We kama umegonga tukuimbie parapanda tu
  6. Ufwandunkanye

    Kuna makundi hatari sana ndani ya Chadema na punde tu yatadhihili.

    Endeleeni kubwabwa na kigogo wenu muimba taarabu
  7. Ufwandunkanye

    Maandamano yafanyika Indonesia kupinga sheria mpya inayodhibiti ngono kabla ya ndoa

    Ikija hapa bongo, nadhani mabaharia watalazimika kuoa mapema au kuhamia chaputa tu
  8. Ufwandunkanye

    Hivi kina dada mnapotongozwa huu msemo mnaoutoa,mnaufikiria kweli? Na maana yake ni nini?

    Unanifikiria imekua ajira hiyo? Hakika mwanamke akiniambia hivyo hata kama nilikuwa nampenda vp, naachana naye.
  9. Ufwandunkanye

    Members wengi wa MMU ni vijana wa facebook, huwezi kuwaona kwenye mijadala mizito

    Msaada, hivi MMU ni jukwaa gani? Naombeni kirefu chake. Tangu nimejiunga JF sijawahi jua hili neno maana yake.
  10. Ufwandunkanye

    Msaada wa kubadili herufi katika kitambulisho cha taifa.

    Tafadhari, kama kichwa kinavyosema. Nina kitabulisho cha taifa nilijiandikishia Dar ila kwa sasa nipo mkoani. Lakini nilipochukua niliangalia picha na majina juu juu na kuweka sahihi na kuondoka kwa sababu ya kuchoka kufuatilia na foleni. Lakini baadae nikagundua kwamba kuna herufi imekosewa...
  11. Ufwandunkanye

    Jeshi la Israel limekimbia camp Aibu ya Mwaka 2019

    Taiga teule la nani wewe? Taifa teule, taifa teule. Huu utumwa wa mawazo tuyauacha lini? I can't be serious man [emoji16]
  12. Ufwandunkanye

    Maumivu makali ya tumbo usawa wa kitovu upande wa kulia

    Hizo dalili za kidoletumbo au appendix. Ni vema ukawahi hospitali kabla ya hicho kifuko hakijapasuka na kusambaza bacteria. Nenda kwanza hospitali ili wakachunguze kama ni yenyewe.
Back
Top Bottom