Recent content by Ubora

  1. U

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Rais Magufuli Kahama: James Lembeli aungana naye. Je, kurejea CCM?

    Tulimkanya sana Mbowe na Saccos yake lkni hakutuelewa, wote watarudi tu.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Zitto Kabwe akaa meza moja na UKAWA

    Katika mazingira ya kusikitisha wale waliomwita msaliti katika chama wajikuta ghafla wakitoa pongezi kubwa kwake, kwa kuonyesha ushujaa. Zitto Kabwe kwa upande wake amekaliliwa akisema waliokuwa wabaya wake tayari amewasamehe.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Bulembo, Mufti mkuu na CAG Ikulu

    Safi sana mufti wetu kwa kuitambua CCM, Mufti wetu anaiwakilisha taasis vizuri
  4. U

    JamiiForums Tanzania Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA

    Babu hana jipya zaidi ya kulalamika, hayo ndo matokeo ya tamaa.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Hatimaye John Stanley,Aibuka Kidedea Urais wa Tahliso

    Mkt wetu mpya hongera sana
  6. U

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Magufuli atosha tu nchi hii.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Hatimaye John Stanley,Aibuka Kidedea Urais wa Tahliso

    Hatimaye John Stanley ambaye ni mwanafunzi wa Masomo ya Uongozi, chuo kikuu cha Usafirishaji, Jana ameibuka kidedea kwa kupata ushindi mnono katika uchaguzi wa shirikisho hilo uliofanyikia Chuo Cha Saut Mwanza. Zaidi ya Vyuo hamsini vilishiriki katika uchaguzi huo ulishirikisha vyuo vyote vikuu...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Shujaaa mpya wa TAHLISO ni Francis Ndunguru

    Nidhamu yake Mbovu ndio sababu alifukuzwa chuo
  9. U

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Tupo nae pamoja sana rais wetu
  10. U

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Tunataka azidi kutumbua majipu
  11. U

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Huyu rais jaman yupo vizur sana
  12. U

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Hata mimi nakubaliana na hayo mawazo.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Hatimaye CHADEMA watambua rasmi ushindi wa Magufuli

    Watanyoka tuu, na spidi iliyopo kunauwezekano wakatumbuliwa majipu zaidi hususani wamiliki wa saccos
  14. U

    JamiiForums Tanzania Hatimaye CHADEMA watambua rasmi ushindi wa Magufuli

    Ngoja tusubili waendelee na malalamiko yao
  15. U

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Maalim Seif Ikulu leo

    Kuwa mzalendo na zingatia kauli za viongozi wako wa chama, fanya kazi upate mafanikio kimaisha na si vinginevyo.
Back
Top Bottom