Hatimaye CHADEMA watambua rasmi ushindi wa Magufuli

Hatimaye CHADEMA watambua rasmi ushindi wa Magufuli

Ujinga ni vazi la mjinga na ubongo wake umejaa mitizamo ya kijinga.!
 
Kwa nini mnashadidia kutambuliwa? HATATAMBULIWA KAMWE JPM NI SAWASAWA NA MCHEPUKO
 
Jamani watanzania mbona hatujui siasa namn hii?? Katiba inasema wazi kwamba anaetangazwa na tume ndio mshindi hata kama sio kihalali,sasa wewe ulitaka chadema tupingane na katiba?
 
Watanyoka tuu, na spidi iliyopo kunauwezekano wakatumbuliwa majipu zaidi hususani wamiliki wa saccos
 
Kwa hiyo ccm wanatafuta njia hasi na chanya kuingia ikulu ili wakanywe juice? Ndio maana itatuchukua muda mrefu sana kujikomboa kifikra KAMA MAWAZO YENYEWE NI JUICE TU. Yaani juice ndo muhimu sana kuliko namba mnayoisomA?

hahahaha, juice ya ikulu tamu wewe, waulize akina Mbowe
 
Kwani kutomtambua Rais kulipunguza nn. Stupid dumbs. Hapa kazi tu. Mkapa wad right. Mna tafuta umaarufu wa kitoto.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kupitia viongozi wake wamezidi kuudhihirishia umma wa Watanzania kuwa wanamtambua Rais Magufuli na wamezidi kupereka kero zao na malalamiko yao kwa Serikali ya Rais Magufuli.

Kweli Demokrasia inazidi kupanuka, kama hawa ndio walikuwa wakwanza kupinga matokeo, leo hii ndio vinara wa kulalamikia Serikali ya CCM,wasomi na wafuatiliaji wa maswala ya kisiasa wanazidi kupata mashaka na misimamo ya Chadema.

wana kiongozi ambae amelelewa kimaadili kutoka ccm mh lowasa
 
Kutokutambua matokeo kukopalepale kwani walisaini fomu ya matokeo ya jumla ya urais? Hebu tumia akili japo kidogo mkuu
 
Mwanaccm makini anapaswa kusikitika uhuni unao endelea kufanywa kuhusu umeya.Nadhani ni ajabu nakweli mtu akishinda mawakala wakakubaliana hata mgombea aliyeshindwa akakiri kushindwa halafu mkurugenzi ana mtangaza mwingine.Yaani tatizo kutangaza! Nchi haiwezi kuendelea namna hii

Anzisha Thread Tujadili Hili Lakini Hii Haihusu Mameya
 
Back
Top Bottom