mafundisho
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 388
- 136
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia viongozi wake wamezidi kuudhihirishia umma wa Watanzania kuwa wanamtambua Rais Magufuli na wamezidi kupereka kero zao na malalamiko yao kwa Serikali ya Rais Magufuli.
Kweli Demokrasia inazidi kupanuka, kama hawa ndio walikuwa wakwanza kupinga matokeo, leo hii ndio vinara wa kulalamikia Serikali ya CCM,wasomi na wafuatiliaji wa maswala ya kisiasa wanazidi kupata mashaka na misimamo ya CHADEMA.