Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu amemkaribisha na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM Alhaji Abdallah Bulembo Ikulu jijini Dar es salaam.
Leo Jumatatu Januari o4, 2016 Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mazungumzo na Mufti mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuber Ally Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli amefanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam na Prof. Mussa Juma Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) .
Last edited by a moderator: