Recent content by ubora wa maisha

  1. ubora wa maisha

    Boeing: I am pleased to welcome Air Tanzania as the newest member of the Dreamliner family

    ni ushamba tu.... kama alikuwa anaotaga ndoto za kuja kununua ndege angetafta hela anunue yakwake binafsi akate kiu yake ...nchi anatakiwa iwe na vipaumbele endelevu vinavyogusa watu wenge zaidi ili waje kukua kiuchumi na kuweza kunua ndege binafsi, kuzipanda ndege na kuanzisha makampuni ya...
  2. ubora wa maisha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Azomewa na Wananchi Karatu

    huyu mgambo anaahau kwamba hata mahaba ya aliyemteua yanaishaga atachokwa tu watu wanachoka wake zao ije kuwa yeye ...tatizo anamejiingiza kwenye ligi ambayo haitoiweza ..mind set za kaskazini ni tofauti kabisa yeye anakuja na mind set yake ya wapi anafkri anaweza akabadilisha mind set za watu...
  3. ubora wa maisha

    Tumemruhusu Rais Magufuli kuikanyaga demokrasia, ameset 'precedence' hata kwa marais wajao

    nchi yetu bado tupo kwenye kipindi cha mpito ndio kwaanza raisi wa tano bado wananchi tunajifunza na viongozi wanajifunza kwa uzoefu na uwezi ukafanya maamuzi ya kusema watamuiga magu sababu fainali ni mwaka wa 5 au 10 tutaangalia kama ameweza au amewezwa na watu hawapendi kumuiga mtu aliyewezwa...
  4. ubora wa maisha

    Naombeni ushauri wenu, nataka kujiunga na siasa

    kuna chama kinaitwa twaweza nadhani kipo vizuri
  5. ubora wa maisha

    Hongera Rais Magufuli kwa kutekeleza ahadi ya Madawati

    usiseme serikali haina hela , sema haiko makini kwenye kazi yake ya kukusanya kodi na kuzielekeza kwenye matumizi sahihi, serikali ni mfanya biashara mkubwa kuliko taasisi yoyote nchini ,kwenye kila manunuzi inachukua kodi alafu bado inakosa pesa za bajeti ...hayo ni masihara sipendagi masihara...
  6. ubora wa maisha

    Kauli hii ya Kardinal Pengo,inatukumbusha "upande wa pili" wa Kanisa Katoliki

    tatizo kubwa sana every body is trying to be a puppet ..... hawa watu wa makanisa makubwa wanashindwa kukabiliana na matatizo yao binafsi ya waumini kupungua sadaka kupungua wanasaidia wengine ....kanisa linapoteza ushawishi siku hadi siku... itafika mahali watakosa sadaka za kutosha na sio muda...
  7. ubora wa maisha

    Zitto Kabwe asimulia alichokutana nacho hospitalini mkewe akijifungua

    mbowe ni shijaa katika siasa za nchii hii kuwa kuasisi chama na kukifikisha kilipofika inahitaji ujasiri na kujituma kwa hali ya juu ...na ninapo mzungumzia shujaa mbowe kwa heshima yake hastahili kuwekwa kwenye sentesi moja na bwana mdogo msaliti msaka tonge zito its not right labda zito...
  8. ubora wa maisha

    Tusijidanganye: Watanzania hawatavumilia fisadi na ufisadi 2020

    watanzania hawajui wanachokitatata ,na wanaojua hawatoweza kukipata. mtazamo wa wengi bado uko enzi za ukoloni wanaona ni sawa kutaawaliwa ...itachukua miaka 100 kubadilisha hili anza kubadilisha mtazamo wako kwanza kisha watoto wako na wajukuu kama utaweza
  9. ubora wa maisha

    Hongera Rais Magufuli kwa kutekeleza ahadi ya Madawati

    watu walikuwa wanakaa chini mpaka leo alafu jimbo lilikuwa na waziri miaka nenda rudi shame on you chato shame
  10. ubora wa maisha

    Zitto Kabwe asimulia alichokutana nacho hospitalini mkewe akijifungua

    haijalishi umefanya nini zito lakini madhara ya usaliti wako ndio matokeo ya serikali mbovu yenye kuleta matokeo mabovu ,na hata siku moja uende ukatoe figo yako moja kwa muhitaji historia itabaki kukukumbuka kama mwanasiasa kijana unaeendeshwa na njaa na kiu za madaraka na umeshaitoa kafara...
  11. ubora wa maisha

    Kumi bora ya wabunge waliofanya vizuri kwa mwaka huu 2016

    kitu wabunge walichofanya zaidi ni kusema ndio mzee kasoro lema tu ambae unajua alipo ...hawafanyi kazi tuliyowatuma wanafanya walichotumwa na familia zao kufunika kombe mwanaharamu apite ....mswada wa habari huo umepita, sijui kwanini kunakuwa na bunge la bajeti ...mi nashauri wajiuzulu tu...
  12. ubora wa maisha

    Donald Trump akubaliana na Magufuli asema ilikuwa makosa kumtoa GHADAFI

    usirudie kumlingalisha mwekezaji na mtu ambae hajawahi kufanya hata biashara ya karanga ,mindset zao ni kas na kus...hawatafanana kimaamuzi kimaono wala ktk juhudi.... mwingine ananunua ndege kwa hela yake ameajiri kwenye kampuni yake ..mwingine anapunguza kazi anasitisha ajira ananunua ndege...
  13. ubora wa maisha

    Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

    serikali ya awamu ya 5 imejengwa katika msingi wa uongo ,chuki ,uoga na visasi na haitoleta usawa zaidi ya kupuuza na kutaka kushusha watu waliofika hapo wa walipofika kwa kujituma... kifupi haijajegwa kwenye msingi wa haki heshima na usawa
  14. ubora wa maisha

    Mbunge wa Hai mh. Freeman Mbowe ashiriki ujenzi wa chuo kikuu SMMUCo-Campus ya Machame

    vijiji vya machame sio kijiji unachokifikiria ni mjini kabisa kwa mikoa mingine ..
  15. ubora wa maisha

    rais kupendwa au kutopendwa kwani inahusu?

    heri ya boxing day kama huna box sijui nikusaidieje? kila siku utasikia wanaompenda rais wasiompenda rais? kwani uongozi ni swala la mahaba. na kwanini mtu ampende au amchukie rais . maana kama walivyo watumishi wengine wa umma ndivyo alivyo rais kuna yule doctor aliyeokoa maisha yako au ya...
Back
Top Bottom