Mkuu wa Mkoa wa Arusha Azomewa na Wananchi Karatu

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Azomewa na Wananchi Karatu

Arusha map
image.jpg


Manyara map
image.jpg
 
Hii nayo ni habari?
Chadema mmechoka kiakili, kimwili mpaka kimawazo. Siku zote ni watu wakufurahia utengano katika Taifa
Leta habari wewe mwana lumumba, mnajificha kwenye hicho kichaka na tunawajua vizuri watumika 071.
 
Kwa watanzania wenye vichwa safi na salama hiyo ni muhimu kuliko habari za CNN / BBC za kukomboa Alepo or Mosul.
Mantiki siyo kuzomewa mkuu wa mkoa ila ni jinsi gani wananchi wanaweza kutaabika kwa mtu mmoja kupindisha maamuzi yanye manufaa mapana kwa jamii na yaliyotolewa na mtu mwenye dhamana kubwa kama PM kwa faida yake binafsi au genge lake dogo.
Usiwe unasoma heading tu kwa kuwa ulifundishwa kusoma bali soma kwa kuelewa kama mtu aliyeelimika. Happy New Year 2017
Habari ambayo haionyeshi balansi yoyote kwenye uwasilishwaji si habari kamili. Hivi umeona kauli yoyote hapo kutoka upande unaotuhumiwa. Au wewe ndiye umekurupuka pasipo kutambua. Kabla hujaandika kwanza lisome andishi harafu uone maudhui yake. UVYAMA USIKUTIE UPOFU UKAIPUNGUZA AKILI YAKO
 
Tujiulize kwamba matamko ya PM na RC kuhusu 60m na 500m ni kwa mujibu wa sheria ipi maana hivi vina sheria simamizi.
Baada ya hapo tutajua nani yupo sahihi na tusiwe na hali kuwaza kwamba jamaa kapewa rushwa ambayo hatujaiona, ikumbukwe hata hao wenye machines wana haki na wanajaribu kutumia fursa iliyopo.
 
Leta habari wewe mwana lumumba, mnajificha kwenye hicho kichaka na tunawajua vizuri watumika 071.
Hoja hujibiwa kwa hoja sio matusi, ndio maana wengi hamuelewi chochote zaidi ya kuwa bendera. Gambo ni kwa maslahi ya taifa sio kwa ajili ya chama fulani. Rudi kajifunze Siasa
 
Habari ambayo haionyeshi balansi yoyote kwenye uwasilishwaji si habari kamili. Hivi umeona kauli yoyote hapo kutoka upande unaotuhumiwa. Au wewe ndiye umekurupuka pasipo kutambua. Kabla hujaandika kwanza lisome andishi harafu uone maudhui yake. UVYAMA USIKUTIE UPOFU UKAIPUNGUZA AKILI YAKO

Nasema tena soma vizuri tena na tena hiyo habari, upande unaotuhumiwa umenukuliwa vizuri sana ukisema kamata madiwani wote (CCM and CHADEMA) tia ndani na subiri maelekezo zaidi hapo baadae. vile vile RC kasema pump ziwe mita 60 na siyo 500 za PM.

What kind of balance do you want???? Mapenzi yasizidi uelewa wako.
 
Hii nayo ni habari?
Chadema mmechoka kiakili, kimwili mpaka kimawazo. Siku zote ni watu wakufurahia utengano katika Taifa
Ni habari kubwa sana, sisi awamu ya tano tunapambana na rushwa yeye anaitetea?
 
Nasema tena soma vizuri tena na tena hiyo habari, upande unaotuhumiwa umenukuliwa vizuri sana ukisema kamata madiwani wote (CCM and CHADEMA) tia ndani na subiri maelekezo zaidi hapo baadae. vile vile RC kasema pump ziwe mita 60 na siyo 500 za PM.

What kind of balance do you want???? Mapenzi yasizidi uelewa wako.
Hivi habari Imemnukuu nani hapo? Nani mwenye usahihi wa kuthibitisha kati ya Gambo na Huyo Mwingine?
 
Nasema tena soma vizuri tena na tena hiyo habari, upande unaotuhumiwa umenukuliwa vizuri sana ukisema kamata madiwani wote (CCM and CHADEMA) tia ndani na subiri maelekezo zaidi hapo baadae. vile vile RC kasema pump ziwe mita 60 na siyo 500 za PM.

What kind of balance do you want???? Mapenzi yasizidi uelewa wako.
Achana naye, nani kamwambia hili jukwaa ni gazeti mpaka mwenye taarifa akai-balance kama anavyotaka? Hapa watu wanaleta kile walichoona au kusikia, ili mradi kiwe cha kweli, basi! Kama vipi yeye aende kwa Gambo akamuulize!
 
huyu mgambo anaahau kwamba hata mahaba ya aliyemteua yanaishaga atachokwa tu watu wanachoka wake zao ije kuwa yeye ...tatizo anamejiingiza kwenye ligi ambayo haitoiweza ..mind set za kaskazini ni tofauti kabisa yeye anakuja na mind set yake ya wapi anafkri anaweza akabadilisha mind set za watu huku .... na mgambo atakuwa ni sample space kwa umbwa wengine wa mwenye umbwa ambao wao wakisaksiwa wao wanakimbiza tu na kubweka bila kufikria ...kamata kamata kamata
 
Hii nayo ni habari?
Chadema mmechoka kiakili, kimwili mpaka kimawazo. Siku zote ni watu wakufurahia utengano katika Taifa
Ukiwa wa mtumwa wa kiakili ni balaa zaidi
Sasa suala la Maji nalo lina chama au wananchi waliokosa Maji ni wananchi wa Chadema peke yake?
Anyway sina chama wala sifanyi siasa ila kwa ufupi umepotoka mkuu
 
Back
Top Bottom