Nampa hongera rais kwa kutekeleza ahadi yake ya kutoa madawati yapatao 852 yenye thamani ya milioni 60 kwa Tarafa za Bwanga na Buseresere zilizopo wilaya Chato mkoa wa Geita.Hii ametoa wakati wa sikukuu ya christmas ukweli haya madawati yatapunguza adha kubwa kwa wanafunzi waliokuwa wanakaa chini.