Tusijidanganye: Watanzania hawatavumilia fisadi na ufisadi 2020

watanzania hawajui wanachokitatata ,na wanaojua hawatoweza kukipata. mtazamo wa wengi bado uko enzi za ukoloni wanaona ni sawa kutaawaliwa ...itachukua miaka 100 kubadilisha hili anza kubadilisha mtazamo wako kwanza kisha watoto wako na wajukuu kama utaweza
 
Kabisa mkuu ,na watu safi wasio na tuhuma za FISADI mbona WAPO wengi kwanini tung'ang'anie fisadi.
labda yeye haamini kama atashinda ndiyo maana hataki tume huru wewe mhakikishie kuwa atashinda atengeneze utaratibu wa tume huru,come 2020.
 
Mimi ni mpiga kura,nakijua ninachokitaka!CCM haikuchaguliwa mkuu,mimi ni mwana CCM who cannot pretend,na msema kweli na yeyote yule ndani ya CCM msema kweli analijua hilo.Mwenye macho na akili anajua kwamba maandaliza ya 2020 for an "easy win" not a "fair win" yameshaanza.I say an "easy win."
You are not serious either, ccm imechaguliwa marangapi na ufisadi wake, hao mafisadi ni wangapi na wame toka wapi?, kimsingi hujui hata wanacho kitaka hao wapiga kura!
 
Back
Top Bottom