ubora wa maisha
Member
- Dec 4, 2016
- 33
- 14
heri ya boxing day kama huna box sijui nikusaidieje?
kila siku utasikia wanaompenda rais wasiompenda rais?
kwani uongozi ni swala la mahaba.
na kwanini mtu ampende au amchukie rais .
maana kama walivyo watumishi wengine wa umma ndivyo alivyo rais kuna yule doctor aliyeokoa maisha yako au ya rafiki ndugu ,kuna yule mwalimu alikusaidia ukafaulu au kuna yule polisi aliyekuja kukukamata ukiwa na kosa ina maana unatakiwa umchukie wote wanafanya kazi na kulipwa mshahara tena mdogo kulinganisha na huyo rais ,na wote pamoja na wewe ndio tunaolipa kodi ambazo yeye pamoja na wanae wanaweza kuhudhuria kule ....sasa kwanini umpende mtu uliyemwajiri unatakiwa umsimamie afanye kazi kwa bidii ,akifa ndio muda wa kutoa sifa ila sasa ni wakati wa kazi... wanasema ukimsifia mgema tembo ulitia maji au ukicheka na ........ wahenga walikuwa na akili....
kwahiyo kama mmeamua kupenda watu mpende aliyetengeneza kifaa cha kidigitali unachokitumia, ,mpende aliyelima mahindi ya ugali uliyokula , mpende kila mtu
Tatizo wanasiasa wetu wanataka kupendwa alafu wanakuwa sio waaminifu kwenye uhusiano hawaaminiki, ni wababe, hawasikilizi ,wanajiona wanajua kila kitu alafu dharau bawana dharau uhusiano utadumuje sasa